"uume siyo pesa"

"uume siyo pesa"

Tuwe wakweli mwanamke akiwa rafu unaweza kumpenda eti kisa ana papuchi? wewe unamfuata kwa sababu ya urembo wake! na ili a-maintain urembo huo ulioupenda ni lazima ajirembe kama ulivyo mkuta, na urembo ni gharama jamani! kama ulitaka papuchi tu basi tafuta mwnamke anaye taka utamu wako tu na wewe utamu wake tu!
Unaingia mahusiano na mrembo lazima msaidiane kumentain kitu mnacho kipenda wote (ur common interest) sasa unataka aghalimike yeye tu huku na wewe unapenda awe hivyo? usikwepe majukumu yako ndio yalikuleta hapa duniani take easy sawa ndugu?
Sitaki hata kusikia achilia mbali kuona...
 
We msela sasa hivi mgumu ila subiri upate pesa wewe, utawahonga nahisi hadi utakuja kuleta mada humu kua ukitaka mambo safi kua na pesa... Ni kama mwanaume anavyopenda uzuri wa binti, sasa wabaya walie? vivyo hivyo wanataka wenye nazo sasa ambazo hawana ndio kilio chao hiki
 
Na uke sio kukupikia,kukufulia wala kukuhudumia....over!

Am sorry ke mwenzangu, huu ni wajibu wetu!!! Ndiyo sababu tuna nguvu ya kuwashupalia watuhudumie...
Kula uliwe!! Uza ununuliwe upo hapo???
 
Si unakaa pembeni kuepusha hizo stress..................

Kidogo nikuite shosti uje usikilize kilio kingine!
Mi nahisi kuna miaka ya juzi kati wazazi walidekeza sana watoto wao wa kiume,sasa wanakuwa wanataka wawe vichwa ila wakiletewa majukumu yanayoambatana na hicho cheo wanaanza kulalama!

CC. Swts
 
Last edited by a moderator:
Tuwe wakweli mwanamke akiwa rafu unaweza kumpenda eti kisa ana papuchi? wewe unamfuata kwa sababu ya urembo wake! na ili a-maintain urembo huo ulioupenda ni lazima ajirembe kama ulivyo mkuta, na urembo ni gharama jamani! kama ulitaka papuchi tu basi tafuta mwnamke anaye taka utamu wako tu na wewe utamu wake tu!
Unaingia mahusiano na mrembo lazima msaidiane kumentain kitu mnacho kipenda wote (ur common interest) sasa unataka aghalimike yeye tu huku na wewe unapenda awe hivyo? usikwepe majukumu yako ndio yalikuleta hapa duniani take easy sawa ndugu?

Bora umemwambia
 
Na bado utalia sana hapa duniani. Emiliasi G Penda usipende jasho lako litaliwa hadi ufe, na ukichelewa kufa unaweza kuuawawa vile vile watu wapate urithi!

Last edited by a moderator:
Am sorry ke mwenzangu, huu ni wajibu wetu!!! Ndiyo sababu tuna nguvu ya kuwashupalia watuhudumie...
Kula uliwe!! Uza ununuliwe upo hapo???

Yeah nalijua hilo best ...but as long as wanaona kutuhudumia siyo jukumu lao basi sisi tuyaache yetu..
Ndoa lazima ibalance I mean yeye afanye majukumu yake kunihudumia na mimi nimuhudumie...sasa wao wanataka maisha ya mteremko na kukimbia.majukumu yao kwetu.
 
Tuwe wakweli mwanamke akiwa rafu unaweza kumpenda eti kisa ana papuchi? wewe unamfuata kwa sababu ya urembo wake! na ili a-maintain urembo huo ulioupenda ni lazima ajirembe kama ulivyo mkuta, na urembo ni gharama jamani! kama ulitaka papuchi tu basi tafuta mwnamke anaye taka utamu wako tu na wewe utamu wake tu!
Unaingia mahusiano na mrembo lazima msaidiane kumentain kitu mnacho kipenda wote (ur common interest) sasa unataka aghalimike yeye tu huku na wewe unapenda awe hivyo? usikwepe majukumu yako ndio yalikuleta hapa duniani take easy sawa ndugu?

Mkuu uwe unasoma hadi mwisho sio ilimradi upate like za kina Dada/Mama... Kasema imekuwa too much ila sio kama kutompa hela kabisa.

Pili kabla ya kumtongoza na kuanzisha uhusiano alikuwa hapendezi hapo mwanzo?
 
Yeah nalijua hilo best ...but as long as wanaona kutuhudumia siyo jukumu lao basi sisi tuyaache yetu..
Ndoa lazima ibalance I mean yeye afanye majukumu yake kunihudumia na mimi nimuhudumie...sasa wao wanataka maisha ya mteremko na kukimbia.majukumu yao kwetu.

Yaaaa nimekupata shost!! Tupambane nao mdogomdogo wataelewa tuu. Ni wachache labda vile wallet zimetoboka. Wengi nawasifu wanafanya majukumu yao. mi hata mchina wangu huu ni wao!
 
Banaeh mimi nakubaliana na mleta mada ...uume si pesa...bali uke ndo pesa....Case yangu mimi huwa nahonga tuu tangu nipo shuleni niliwahi kula ada kipindi F 5 ilikaribia kula kwangu kuilipa.asa tangia hapo ,chuo,kazi hadi leo nahonga tu wala sijahongwa.Sii nia yangu kueleza ulofa wangu ila ku-justfy kwamba ..kwa bibi ndo mpango wa ela.

Biashara matangazo...Subiria PM za wanaojiuza.
 
Tatizo letu sisi tunapenda tundu alafu tunashindwa kuelewa tundu lenyewe hilo huwa mwisho wa tendo ndilo linapokea uchafu linapaswa kusafishwa vizuri na kundolewa hizo shombo ili kesho napo litumike, lisipo safishwa na kutoa harufu mbaya mtu anakuja hapa demu wangu ananuka papuchi! akiombwa hela za matumizi ya papuchi anakuja hapa analia!!! sasa mmuwekwe wapi nyie? lazima tujue mapenzi ni raha si karaha ili upate raha yeyote ile gharama haziepukiki!!!!!!!!!! punyeto yenyewe lazima ununue sabuni au mafuta, sasa mrembo anaye nukia ukimaliza unataka tena inakuwaje?

Hahahaa haaaa uwiii nimecheka
Basi sawa
 
Si unakaa pembeni kuepusha hizo stress..................

539789_724767544204495_1797843906_n.jpg
 
Back
Top Bottom