livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,925
- 5,528
IRAN Ipi
Bwana utam natambua Iran hana chochote cha kumfanya apambanie hii ni kwa sababu hana masirahi yeyote kwa pande ueyote atayojiunga nayo ,Maana Wakurdi wanaoungwa mkono na Marekani iran hapatani na marekani na hawezi kuunga mkono Wakurdi, vile vile Iran anaweza tu kujitokeza hapa kwa sababu ya kuwa Yeye ni mshirika wa Karibu na Asad(Syria) ikishirikiana na Russia ambayo pia Russia ni mshirika wa karibu na Turkey, kwa hiyo Iran inaweza tu kujihusisha kwa mantiki ya huo ushirika.
Kwa mtazamo wangu Iran akijichanganya hapa yawezekana ikawa ni mwanzo wa marekani na allias zake kama Saudi, Izrael na baadhi ya inchi za umoja wa Ulaya zikapatia sababu ya Kuishambulia Iran. Japo sioni Masirahi ya msingi kwa Iran kujiingiza katika huu mzozo.