Erdogan: Ni suala la muda tu kwa Netanyahu kulipa gharama ya 'mauaji ya kimbari'

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ndiye atakayelipa gharama ya "mauaji" ya Israel huko Gaza, shirika la habari la Anadolu limeripoti. "Kwa sasa, kati ya 60% na 70% ya watu wa Israeli wanampinga Netanyahu" na itakuwa mbaya zaidi kwa Waziri Mkuu, Erdogan aliwaambia waandishi wa habari ndani ya ndege yake ya rais.

Kiongozi wa Uturuki pia alidai kuwa Hamas haina nia ya kuwashikilia mateka wa kiraia ambao iliwakamata wakati wa uvamizi wa Israeli mnamo Oktoba 7. Kundi hilo liko tayari kuwaacha huru lakini, ili hili lifanyike, "Wapalestina walioko mikononi mwa Israeli magerezani wanapaswa kuachiliwa. ,” alieleza.

Erdogan pia alizungumza kuhusu mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) unaofanyika katika mji mkuu wa Saudi Riyadh siku ya Jumapili, akisisitiza kwamba maamuzi yaliyotolewa katika hafla hiyo "itakuwa hatua kubwa ya kukomesha ukandamizaji wa Israel" dhidi ya Wapalestina.
 
Netanyau alimwabia huyo rais kuwa hana akili ya kuwashauri au kuwafundisha israel kuhusu haki, kwasababu miaka nenda rudi, uturuki inaua sana wakurdi na inatamani kuwafuta kabisa.

Uturuki pia ina historia mbaya ya mauaji ya kimbari dhidi ya armenians (ambao ni wakristo), waliwafukuzia kwenye barafu na ambako hakuna makazi wala chakula ili wafe, na walikufa sana. kwahiyo hana moral standard.

Pia, uturuki wao si inasemekana wana nguvu za kijeshi? kwanini wasipeleke pua pale? waingie tu vitani au warushe hata bomu tu pale israel waone cha moto. ama la watulie kimya, vijana wapo kazini.
 
Edrogan mnafiki sana anajifanya ana uchungu na wapalestine huku uturuki imewaua sana wakurdi ni udini unamsumbua

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ndiye atakayelipa gharama ya "mauaji" ya Israel huko Gaza, shirika la habari la Anadolu limeripoti. "Kwa sasa, kati ya 60% na 70% ya watu wa Israeli wanampinga Netanyahu" na itakuwa mbaya zaidi kwa Waziri Mkuu, Erdogan aliwaambia waandishi wa habari ndani ya ndege yake ya rais.

Kiongozi wa Uturuki pia alidai kuwa Hamas haina nia ya kuwashikilia mateka wa kiraia ambao iliwakamata wakati wa uvamizi wa Israeli mnamo Oktoba 7. Kundi hilo liko tayari kuwaacha huru lakini, ili hili lifanyike, "Wapalestina walioko mikononi mwa Israeli magerezani wanapaswa kuachiliwa. ,” alieleza.

Erdogan pia alizungumza kuhusu mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) unaofanyika katika mji mkuu wa Saudi Riyadh siku ya Jumapili, akisisitiza kwamba maamuzi yaliyotolewa katika hafla hiyo "itakuwa hatua kubwa ya kukomesha ukandamizaji wa Israel" dhidi ya Wapalestina.
Dua ya kuku kwa mwewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Netanyau alimwabia huyo rais kuwa hana akili ya kuwashauri au kuwafundisha israel kuhusu haki, kwasababu miaka nenda rudi, uturuki inaua sana wakurdi na inatamani kuwafuta kabisa.

Uturuki pia ina historia mbaya ya mauaji ya kimbari dhidi ya armenians (ambao ni wakristo), waliwafukuzia kwenye barafu na ambako hakuna makazi wala chakula ili wafe, na walikufa sana. kwahiyo hana moral standard.

Pia, uturuki wao si inasemekana wana nguvu za kijeshi? kwanini wasipeleke pua pale? waingie tu vitani au warushe hata bomu tu pale israel waone cha moto. ama la watulie kimya, vijana wapo kazini.
Inasemwkana????

Bibi anaonekana, ukileta mahistoria hakutakuwa na msafi..
Its a matter of time kwa Bibi
 
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ndiye atakayelipa gharama ya "mauaji" ya Israel huko Gaza, shirika la habari la Anadolu limeripoti. "Kwa sasa, kati ya 60% na 70% ya watu wa Israeli wanampinga Netanyahu" na itakuwa mbaya zaidi kwa Waziri Mkuu, Erdogan aliwaambia waandishi wa habari ndani ya ndege yake ya rais.

Kiongozi wa Uturuki pia alidai kuwa Hamas haina nia ya kuwashikilia mateka wa kiraia ambao iliwakamata wakati wa uvamizi wa Israeli mnamo Oktoba 7. Kundi hilo liko tayari kuwaacha huru lakini, ili hili lifanyike, "Wapalestina walioko mikononi mwa Israeli magerezani wanapaswa kuachiliwa. ,” alieleza.

Erdogan pia alizungumza kuhusu mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) unaofanyika katika mji mkuu wa Saudi Riyadh siku ya Jumapili, akisisitiza kwamba maamuzi yaliyotolewa katika hafla hiyo "itakuwa hatua kubwa ya kukomesha ukandamizaji wa Israel" dhidi ya Wapalestina.
Kwa akili za waislamu watafurahia maneno ya huyu muuaji wa Wakurdi, watoto na wanawake wa kikurdi wameuliwa na huyu mjinga.
Hiyo kura ya kukusanya moni ya waisraeli ameifanya lini?
Badala ya kuwaambia Hamas wawaache mateka anadai waachie raia. Kumbe una mawasiliano na magaidi. Komaeni na mauaji ya wapalestina yatae.delea.
 
Yeye atulie kama aliwatuma hao Hamas ndiyo atajua kuwa nikanyage kwa bahati mbaya nikulipue kwa makusudi
 
Back
Top Bottom