Uturuki waanza mashambulizi Kaskazini Mashariki mwa Syria

livafan

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Messages
1,269
Points
2,000

livafan

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2016
1,269 2,000

Bwana utam natambua Iran hana chochote cha kumfanya apambanie hii ni kwa sababu hana masirahi yeyote kwa pande ueyote atayojiunga nayo ,Maana Wakurdi wanaoungwa mkono na Marekani iran hapatani na marekani na hawezi kuunga mkono Wakurdi, vile vile Iran anaweza tu kujitokeza hapa kwa sababu ya kuwa Yeye ni mshirika wa Karibu na Asad(Syria) ikishirikiana na Russia ambayo pia Russia ni mshirika wa karibu na Turkey, kwa hiyo Iran inaweza tu kujihusisha kwa mantiki ya huo ushirika.

Kwa mtazamo wangu Iran akijichanganya hapa yawezekana ikawa ni mwanzo wa marekani na allias zake kama Saudi, Izrael na baadhi ya inchi za umoja wa Ulaya zikapatia sababu ya Kuishambulia Iran. Japo sioni Masirahi ya msingi kwa Iran kujiingiza katika huu mzozo.
 
Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
32,148
Points
2,000

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
32,148 2,000
Iran hana uhasama na wakurdi tena iran ndo ilikuwa ya kwanza kuwapelekea silaha wakurdi wakati isis walipokaribia kuteka maeneo yao kabla marekani nae hajaja kutoa msaada,
lakini hata hivyo iran,iraq,syria na Turkey wana common interest ambayo ni kuzuia uwepo wa taifa kamili la Kurdistan kwani kila nchi katika hizo ina population ya wakurdi,
uvamizi wa Turkey kaskazini mashariki mwa syria ni habari mbaya kwa marekani ,israel na saudi arabia kwani walitaka kuwepo kwa taifa huru la kurdistani ili kuzigawa nchi tishio kwao ambazo ni iran,iraq,syria na Turkey,

hali hii inawawia vigumu wamarekani kumsaidia mkurdi kwani anajua Turkey sio nchi ya wasiwasi kijeshi na wamarekani pia hawataki kuanzisha vita na mwanachama mwenzao wa NATO,ndo maana Trump aliamua kuondoa askari wake kupisha uvamizi
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
891
Points
1,000

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
891 1,000

Mkuu hapa unatakiwa uelewe yakwamba IRAN Anawaunga mkono wakurdi ila Haungi mkono uwepo wa taifa la jamii ya wakurdi

Pia IRAN Alisha jiingiza kuwasaidia wakurdi wakati wanashambuliwa na ISIS

Halaf pia IRAN Labda wamtaftie sababu zavikwazo zaidi 2 ila hakuna sababu hapo yakuishambulia IRAN Kijeshi

Maoni Na Mtazamo Wangu Tu Haya

NO MORE OVER IRAN .............
 
Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
10,178
Points
2,000

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
10,178 2,000
Iran hana uhasama na wakurdi tena iran ndo ilikuwa ya kwanza kuwapelekea silaha wakurdi wakati isis walipokaribia kuteka maeneo yao kabla marekani nae hajaja kutoa msaada,
lakini hata hivyo iran,iraq,syria na Turkey wana common interest ambayo ni kuzuia uwepo wa taifa kamili la Kurdistan kwani kila nchi katika hizo ina population ya wakurdi,
uvamizi wa Turkey kaskazini mashariki mwa syria ni habari mbaya kwa marekani ,israel na saudi arabia kwani walitaka kuwepo kwa taifa huru la kurdistani ili kuzigawa nchi tishio kwao ambazo ni iran,iraq,syria na Turkey,

hali hii inawawia vigumu wamarekani kumsaidia mkurdi kwani anajua Turkey sio nchi ya wasiwasi kijeshi na wamarekani pia hawataki kuanzisha vita na mwanachama mwenzao wa NATO,ndo maana Trump aliamua kuondoa askari wake kupisha uvamizi
Mbona umemalizia as if kuondoka kwa Marekani ni kwa kuogopa kushambulowa na hao Turkey. Pleas, recheck your facts
 
inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
5,984
Points
2,000

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
5,984 2,000
Kuna mchongo unatengenezwa hapo. Turkey should be careful, maana alipoambiwa ajianda kwenda kushika doria kaskazini mwa Syria, pi alionywa kuhusu kutowagusa hao Wakurd kwa namna yoyote ile.
Huu mtego Uturuki hataukwepa na hapo ndiyo sehemu za nchi za Syria, Irak na Uturuki lazima zitamegwa ili kuunda nchi ya Wakurdi.
mpango wa kuunda nchi mpya ya levanter ulibebeshwa ISIS,wamesambaratishwa..hapo trump anatafuta tu kura maana aliahidi kuondoa majeshi vitani
 
profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Messages
375
Points
1,000

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2015
375 1,000
Mkuu hizi habari .nadhani umezitoa kichwani mwako..suala lililopo kuwa Uturuki inawaona SDF na YPG kama magaidi( wana mifungamano na PKK) na wakati huo Marekani inawatumia hao wakurd katika vita dhidi ya IS .
Sasa urafiki wa Marekani na Wakurd ilikuwa ni kwa ajili ya operation dhidi ya IS na si vita dhidi ya Jturuki( kwa ushahidi msemaji wa Wakurd leo ameweka wazi)...
Uturuki inawaona YPG&SDF kama magaidi kutokqna na sababu za kisiasa..wakati Marekani nayo Inawaona IS,THS,na Miongoni mwa TFSA kama magaidi au wengine ni Moderate.
Ndio Maana SDF &YPG wana uadui na TFSA na hao Wanaojiita National army(including FSA) lakini hawana uadui Sana na Assad Government...
Mkuu hii operation ni kwa mujibu wa Sasa z Utuuki na si zaidi kama unavyotaka kutuaminishq...

Lejea operations za nyuma za u
Uturuki nchini Syria ( olive branch na Euphrate shield) hata hao unawaamini Russia walijarubu kutaka kuwazuia ila wakaghaili na kuwa acha Uturuki free.

Soma zaidi ..kuliko kutoa perception zisizo na ushahidi..
ok,basi hata israel anavyowapiga hamas na hezibulah ni sawa kabisa,ni magaidi wale acha israel aendelee kuwapa kichapo,nimekupata mkuu..
 
one wisow

Senior Member
Joined
Sep 9, 2019
Messages
172
Points
250

one wisow

Senior Member
Joined Sep 9, 2019
172 250
Kuna mchongo unatengenezwa hapo. Turkey should be careful, maana alipoambiwa ajianda kwenda kushika doria kaskazini mwa Syria, pi alionywa kuhusu kutowagusa hao Wakurd kwa namna yoyote ile.
Huu mtego Uturuki hataukwepa na hapo ndiyo sehemu za nchi za Syria, Irak na Uturuki lazima zitamegwa ili kuunda nchi ya Wakurdi.
Hii ni ndoto won't happen
 
one wisow

Senior Member
Joined
Sep 9, 2019
Messages
172
Points
250

one wisow

Senior Member
Joined Sep 9, 2019
172 250
Iran hana uhasama na wakurdi tena iran ndo ilikuwa ya kwanza kuwapelekea silaha wakurdi wakati isis walipokaribia kuteka maeneo yao kabla marekani nae hajaja kutoa msaada,
lakini hata hivyo iran,iraq,syria na Turkey wana common interest ambayo ni kuzuia uwepo wa taifa kamili la Kurdistan kwani kila nchi katika hizo ina population ya wakurdi,
uvamizi wa Turkey kaskazini mashariki mwa syria ni habari mbaya kwa marekani ,israel na saudi arabia kwani walitaka kuwepo kwa taifa huru la kurdistani ili kuzigawa nchi tishio kwao ambazo ni iran,iraq,syria na Turkey,

hali hii inawawia vigumu wamarekani kumsaidia mkurdi kwani anajua Turkey sio nchi ya wasiwasi kijeshi na wamarekani pia hawataki kuanzisha vita na mwanachama mwenzao wa NATO,ndo maana Trump aliamua kuondoa askari wake kupisha uvamizi
Hongera mkuu ,good analysis as if you're middle East think-tank
 
Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
11,892
Points
2,000

Red Giant

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
11,892 2,000
hapo US atakuwa kafanya deal la pembeni na wakurdi kuwahakikishia usalama. Haiingii akilini kumwacha ally wako ghafla hivyo. Siku nyingine ukihitaji ally hutaaminika. Pia huyu Uturuki anampango wa kukaa hayo maeneo kwa muda gani? aasijekuwa anaingia kichwakichwa kama Saudi Arabia huko Yemen.
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
891
Points
1,000

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
891 1,000
hapo US atakuwa kafanya deal la pembeni na wakurdi kuwahakikishia usalama. Haiingii akilini kumwacha ally wako ghafla hivyo. Siku nyingine ukihitaji ally hutaaminika. Pia huyu Uturuki anampango wa kukaa hayo maeneo kwa muda gani? aasijekuwa anaingia kichwakichwa kama Saudi Arabia huko Yemen.
Kuhusu suala la US Kuwakacha Allies wake wala sio jambo la kushangaza jmaa wanafiq sana kiasi kwamba pindi wanapo ona maslahi yao hawayafikii na wanagharamika ama washayafikii basi kwao kukugeula nisuala jepesi 2 zaidi ya sana

Kwan Hata IRAQ C alikua swahiba wake yule IRAQ Wa Saddam alimfanyaje mwisho wa siku ?!.
 
Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
2,877
Points
1,500

Dua

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
2,877 1,500
Hii vita haituhusu sana lakini nina wasi wasi mkubwa sana na kampuni inayojenga reli yetu inaweza kukwama kumaliza kama Turkey itaingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali ya USA.
 
Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
32,148
Points
2,000

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
32,148 2,000
WASHINGTON (AP) — The Latest on U.S.
reaction to Turkey’s offensive into Syria (all
times local):
8:30 p.m.
U.S. officials say an American outpost in
northeastern Syria has been vacated after
coming under fire from Turkish artillery.
The officials say a number of U.S. troops left
their post on a hill outside the town of
Kobane after it came under fire. The officials
say a large base in the town has not been
affected by the shelling.
Turkey says it didn’t target the U.S. outpost
but was responding to fire from Kurdish
groups nearby.
The officials say they expect the evacuation
to be temporary.
— Sarah El Deeb and Lolita C. Baldor
__
8 p.m.
The Pentagon says U.S. troops in Syria came
under artillery fire from the Turks on Friday,
in an area where Turkey knows Americans
are present.
Navy Capt. Brook DeWalt, a Pentagon
spokesman, says the artillery explosion came
within a few hundred meters of the area
where U.S. troops were.
He says no troops were injured and U.S.
forces have not withdrawn from Kobani.
Turkey says the U.S. was not the target.
DeWalt warns that Turkey must avoid
actions that could result in immediate
defensive action by the U.S.
This is the first time a coalition base has
been in the line of fire since Turkey’s
offensive into Syria began Wednesday.
__
1 p.m.
Top Pentagon officials are denying the U.S. is
abandoning its Syrian Kurdish allies in the
face of a Turkish military offensive, although
the future of a counterterrorism partnership
with the Kurds is in grave doubt.
Defense Secretary Mark Esper says, “We have
not abandoned the Kurds.”
He adds that the U.S. “pushed back very hard
at all levels for the Turks not to commence
this operation.”
Esper’s remarks appear aimed at
strengthening the Trump administration’s
argument that it did all it could to stop the
Turks and, failing that, was left with no
reasonable option but to pull some U.S.
troops away from the border.
 
Forum statistics

Threads 1,343,528
Members 515,078
Posts 32,787,526
Top