Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 38,592
- 48,096
Huku idadi ya vifo ikifikia zaidi ya watu 35,000 katika tetemeko kubwa lililoikumba Uturuki na Syria wiki iliyopita Serikali ya Uturuki inatupiwa lawama kubwa kuchangia katika janga la kibinadamu baada ya janga la asili la tetemeko kwa kuwekeza zaidi katika dini kuliko kujipanga kimaafa hali wakijua eneo lao hukabiliwa na matetmeko kama hayo. Mwaka 1999 kulitokea tetemeko lingine lililoua watu takribani 20,000.
Directorate of Religious Affairs (Diyanet) ambayo ni Taasisi rasmi ya kusimamia, kuongoza, kufundisha na hata kueneza dini nchi Uturuki hupatiwa Dola za Kimarekani bilioni mbili($2billion) kila mwaka katika bajeti yake huku kitengo cha kukabiliana na majanga, Disaster and Emergency Management Authority (AFAD) kikipatiwa dola million mia tano tu($500million) kiasi ambacho ni robo ya bajeti ya dini.
Kwa sasa Uturuki wanaomba msaada na kusaidiwa na wote duniani, hata Burundi!
Hakika kupanga ni kuchagua.