Utundu kama huu

Utundu kama huu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,441
Reaction score
872,037
.
IMG-20180513-WA0057.jpg
 
Atakuwa amepandishwa hapo angalia kimo cha gari toka chini na urefu wa mtoto ni vitu viwili tofouti.
Si alipanda gari imepaki.ila dereva mzembe haangalii center mirror angekaona
 
Hizi threads zingine zinatungwa ili kuliwa bundle zetu tu. Hakuna uhalisia. Mtoto huyu hawezi kupanda hapo peke yake.
Huyu ni Kirikou mtoto a kichawi. Mtoto gani ana nguvu ya kushikilia na kukaa hapo Toka nyumbani hadi mjini? Halafu barabara nzima dereva alikutana Na mwendesha pikipiki tu!!!!
Mshana Jr kaleta Uzi huu ili tuwe makini kabla hatujaondoa gari
 
Duh Ommy Dimpoz utundu alianza zamani jamani. Nafikiri hapa ndiyo alikuwa anakwenda Dar kwa mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom