mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,288
- 6,191
mkuu huku ona huo uzi wa mtoto aliedandia bus la abiria kutokea mwanza nazani police ndo walikuja tambua wakati wakikagua gari nazani dogo alikuwa kama miaka 10 hiviTuelezee vizuri mkasa huo mkuu. Ilikuwaje?