Ndefu mno
Kwanza kabisa, kutokujua wingu la mvua lina tani ngapi kunaonesha Mungu yupo?nakupa mfano mdogo tu kama mungu yupo: hilo wingu la mvua linalotanda juu unajua lina tani ngapi ya maji? je kwa nini hata siku moja wingu la mvua lisiangushe maji yake yote kwa mara mmoja ? na likiangusha kwa mara moja hakuna binadamu atabaki hai na wanyama na mimea. kwa hiyo mungu huiteremsha mvua kwa utaratibu ili wewe usie mjua mungu umkumbuke kama yupo, mimea inapata uhai ndege wanyama. wewe usiemjua mungu kiranga mbingu imeumbwa na nani au nani kaitengeneza ? haina hata nguzo za kushikilia mbingu unafikiri imekuja yenyewe? nani analipeleka jua kutoka mashariki kwenda magharibi ni mzungu? sasa wewe nenda kalizuie au wewe litoe magharibi liende mashariki, kaa ukijua mungu yupo . ipo siku utamtaja mungu ukiwa wodi ya mwaisela na baada ya muda utamuona atakwambia mimi ndie mungu niliyekuumba ,
Kitu kinaweza kuwepo na kuwa cha ukweli kikaonekana kina contradiction. Labda kwa sababu hatujakielewa vizuri tu.Unaona sasa unajichanganya,nimetoka kukwambia kuwa kitu kinaweza kisiwepo lakini kikawa hakina maelezo yenye contradiction sasa ajabu wewe unaniambia niondoe contradiction et ndio njia ya kuonesha kipo,sasa kinakuwepo vp hicho kitu kwa kuondoa tu maelezo yenye contradictions? Kwanza unachochanganya hapa ni uwepo /kutokuwepo kwa kitu na maelezo yenye contradiction kuhusu hicho kitu na ndiyo maana nikakwambia kunaweza kuwa na maelezo yenye contradictions kuhusu Mugufuli huyu huyu unayemjua ambaye yupo kiuhalisia.
Hueleweki Mungu hayupo au kuna maelezo yenye contradictions kumuhusu Mungu?
Na wewe unauza mafuta ya upako?
Uwepo au kutokuwepo kwa kitu ni jambo moja na maelezo yenye contradiction ni jambo lengine,kutokuwepo kwa kitu si kwamba ndio sababu ya kuwepo maelezo yenye contradiction kiasi cha tutumie hizo contradictions kama jibu la kuwa hicho kitu hakipo. Kwahiyo kama wewe unajua hakuna Mungu basi ueleze ni vp hakuyupo na kuleta hoja ya contradiction kwa sababu yawezekana kuna hujaelewa vizuri.Kitu kinaweza kuwepo na kuwa cha ukweli kikaonekana kina contradiction. Labda kwa sababu hatujakielewa vizuri tu.
Kitu kinaweza kuwa na contradiction kwa sababu hakipo na si cha kweli.
Ukiona kitu kina contradiction, utajuaje hiki kitu kina contradiction lakini kipo, na si kwamba kina contradiction kwa sababu hakipo?
Unaelewa kwamba swali nililokuuliza hujajibu na kama unajibu kitu sijakuuliza.Uwepo au kutokuwepo kwa kitu ni jambo moja na maelezo yenye contradiction ni jambo lengine,kutokuwepo kwa kitu si kwamba ndio sababu ya kuwepo maelezo yenye contradiction kiasi cha tutumie hizo contradictions kama jibu la kuwa hicho kitu hakipo. Kwahiyo kama wewe unajua hakuna Mungu basi ueleze ni vp hakuyupo na kuleta hoja ya contradiction kwa sababu yawezekana kuna hujaelewa vizuri.
Nimetoka kujibu kuwa hata kama jambo halipo na kukawa na maelezo yenye contradictions haina maana kuwa kutokuwepo kwa hilo jambo ndio sababu ya kuwepo maelezo yenye contradiction,sasa wewe unakuja kuniuliza tena nitajuaje kuwa contradiction hiyo kama ni kutokuwepo kwa hilo jambo. Sijui kwanini umejikita kwenye suala maelezo yenye contradiction wakati navyojua contradiction inaonesha tu kuwa hayo maelezo hayawezi kuwa kweli. Sasa ikiwa hilo jambo halipo,si la kweli au kuna mahali hapajaelekweka tu hilo ni suala lengine.Unaelewa kwamba swali nililokuuliza hujajibu na kama unajibu kitu sijakuuliza.
Narudia.
1. Inawezekana kitu kikawepo, kikawa cha kweli, ila maelezo yake yakawa na contradiction, kwa sababu hatujaelewa tu kilivyo kweli.
2. Inawezekana kitu kikawa hakipo, habari z akuwapo kwake zikawa uongo, maelezo ya kuwapo kwake yakawa na contradiction kutokana na kwamba habari ni za uongo.
Hapo tumeona kitu cha kweli kinaweza kuwa na maelezo ya contradiction, na kitu cha uongo kinaweza kuwa na maelezo ya contradiction.
Mpaka hapo nimesha accommodate main point yako kwamba, si lazima maelezo yenye contradiction yaoneshe kitu ni uongo/ hakipo.
Kwa hivyo tusibishane kuhusu point hii, kwa sababu hakuna cha kubishania, wote tushaikubali, huna haja ya kuitaja tena.
Uitaje tena kwa nini wakati wote tushakubaliana?
Sasa, baada ya kukubaliana hivyo, tuendeleze mjadala.
Ukiona sehemu jambo lina maelezo yenye contradiction, utajuaje contradiction hiyo inatokana na jambo kuwa la uongo/ halipo au jambo lipo, ni la ukweli, contradiction inaonekana kuwapo kwa kuwa hatujaelewa kitu tu?
Hujajibu swali hili.
Unarudia mambo ambayo hatujabishana.
Badala ya kujibu tulipohitilafiana ili tupatengeneze, kwenye mjadala, unajibu pasipo na mjadala!
Una uhakika kila mtu haamini Kuwa Mungu hayupo?Hujaeleza unataka ushahidi gani.
Naweza kukwambia kutaka kwako ushahidi ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.
Angekuwepo kila mtu angemjua yupo na kusingekuwa na mtu anayetaka kupewa ushahidi kwa mwengine kwamba Mungu hayupo.
Unashindwa kuthibitisha kauli yako.
Mpaka sasa mbili bila. Kila post utayoleta bila ushahidi ujuwe ni bao.
Ngoja nikuulize swali rahisi.Nimetoka kujibu kuwa hata kama jambo halipo na kukawa na maelezo yenye contradictions haina maana kuwa kutokuwepo kwa hilo jambo ndio sababu ya kuwepo maelezo yenye contradiction,sasa wewe unakuja kuniuliza tena nitajuaje kuwa contradiction hiyo kama ni kutokuwepo kwa hilo jambo. Sijui kwanini umejikita kwenye suala maelezo yenye contradiction wakati navyojua contradiction inaonesha tu kuwa hayo maelezo hayawezi kuwa kweli. Sasa ikiwa hilo jambo halipo,si la kweli au kuna mahali hapajaelekweka tu hilo ni suala lengine.
Ndio maana nakwambia kama wewe unajua hakuna Mungu basi unapaswa kueleza ni vp hakuna Mungu ila kuishia kusema tu maelezo yenye kuhusu Mungu yana contradictions inaweza kuwa kuna mahali hapajafahamika tu vizuri.
Wapi nimeandika kila mtu haamini kuwa Mungu hayupo?Una uhakika kila mtu haamini Kuwa Mungu hayupo?
Waambie kwamba ni bhange Kama bhange nyingine tuuChristianity is an opium
"Karl marx"
Hebu ngonja,inaonesha kuna kitu unataka kukieleza ila kama unazunguka sana kwa kubadilisha maswali tu,hebu eleza unachotaka kukieleza ueleweke.Ngoja nikuulize swali rahisi.
Unajuaje hii habari ni ya kweli na hii ni ya uongo?
Nikiuliza maswali complex unashindwa kufuatilia logic.Hebu ngonja,inaonesha kuna kitu unataka kukieleza ila kama unazunguka sana kwa kubadilisha maswali tu,hebu eleza unachotaka kukieleza ueleweke.
"Religion is an opium of the people"Christianity is an opium
"Karl marx"