Utumwa kurejea Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utumwa kurejea Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by oba, Jun 12, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naona shaka sana na hatima yetu watanzania, eti wachina wana mkataba wa almost 100 years pale JKN international airport, eti wamarekani ghafla wamekuwa marafiki zetu kiasi cha Clinton baba, mama, Bush na maofisa wengine kututembelea kila mara.
  Mmmmhhhh! nanusa harufu ya watanzania kugeuka watumwa ndani ya nchi yao, hivi nchi hii haijauzwa kwa marekani kweli? wameona uranium na potentilas nyingine- hawajatununua wajameni? naogopa! we dont have competent leaders to defend us in any discussions with those people- TUMEKWISHA!
   
 2. M

  Mtandu Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You are right. Nilipomuona huyo mama nilisema kama wewe: TUMEKWISHA! Baada ya mda si mrefu hapa patachimbika kama Pakistan, Afghanistan, na kwingineko ambako viongozi wamejifanya marafiki wa Marekani!
   
 3. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msubirini Obama sasa,maana anampango wa kuja pigilia msumari wa mwisho,wanampango wa kuiweka Afrrica mashariki yote chini yao coz of portential resources nyingi wlizonazo.Wanamhofia Mchina pia na speed anayokuja nayo,thus wanasafisha mazingira ili mchina asiweze kamata maeneo.NASEMA TUMEKWISHA
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Kila sehemu ambayo China anaingia kwa kasi, Marekani ataleta vita ya Ugaidi au "kueneza demokrasia".
  Sasa tusubiri milipuko kama ile ya balozi zao hapa Tz na kule Kenya.
  Libya itakuwa ni afadhali.

  Afrika na maliasili zake ni mali za West na US na sio za Mchina. Hii ndio kauli aliyoitoa Clinton Zambia.
  Hawataki mkoloni mpya (mchina)Afrika ,wanataka wale wale wa zamani tu(Wazungu na wamarekani).
   
 5. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Ndio maana Symbion wamekuja hakuna kelele, mikwaruzo wala chenga. Kisa? wamerekani.

  Wanafikia mpaka kukiuka amri ya mahakama kuu na sisi watanzania tunaangalia tu.
   
 6. M

  Murrah Senior Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuko utumwani mbona siku nyingi. Mafisadi, us, eu na sasa china na india. Tuanze kudai uhuru tena
   
 7. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Utumwa uanzia akili mwa mtu, kama mnavyojuwa watawala wetu wimbo wao mkuu ni kwenda kuomba misaa nje ya nchni hapo ndipo utumwa unapoanzia
   
 8. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,448
  Likes Received: 781
  Trophy Points: 280
  Utumwa mamboleo au ukoloni mamboleo ?
   
 9. Don Alaba

  Don Alaba Senior Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukoloni mambo leo, njaa na akili finyu ya viongozi wetu vitakucost,
  dowans=symbion, Mmarekani ni mtu mwenye Interest, anga tulishauza, tanesco nayo imechemsha tunaiuza, kampuni ngapi tumebinafsisha na bado hakuna huduma bora, watu na interest zao bana
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Waacheni tu watutumie kama kandambili kwani sisi wenyewe tumeshindwa kutumia resources zetu kwa kuwaendekeza viongozi wazembe.
   
Loading...