Utumishi zingatieni muda wa kumaliza chuo

Desire mobutu seseseko

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
1,002
Reaction score
1,473
Leo nina moja la msingi kwenu sekretariati ya ajira zingatieni mwaka wa kumaliza masomo ya vyuo mnavoita wanasaili kwa ajili ya mchujo.. mtu aliyemaliza mwaka 2017 hawezi complete na mtu alomaliza 2021 the same course.kutokana mmoja kesha kaa sana mtaani swala la kumbukumbu ni shida mno..kwenye written interview ni changamtoto sanaa .hii sio haki si sawa kabsa!!
liangalieni hilo..fanyeni kama ajira za waalimu za TAMISEMI.
 
Ajira za waalimu,TAMISEMI nao hawaangalii mwaka aliomaliza mwanachuo,huchukua wa 2021,na kuwaacha wale wa 2016-17-18.
Ujinga mtupu.Hao wanaojinyonga kwasababu ya mapenzi,sijui kwanini wasiwe wanajitolea kuvaa mabomu walipuke na baadhi ya viongozi...?
Inakera sana.
 
Leo nina moja la msingi kwenu sekretariati ya ajira zingatieni mwaka wa kumaliza masomo ya vyuo mnavoita wanasaili kwa ajili ya mchujo.. mtu aliyemaliza mwaka 2017 hawezi complete na mtu alomaliza 2021 the same course.kutokana mmoja kesha kaa sana mtaani swala la kumbukumbu ni shida mno..kwenye written interview ni changamtoto sanaa .hii sio haki si sawa kabsa!!
liangalieni hilo..fanyeni kama ajira za waalimu za TAMISEMI.
Kama chuo mlienda kukariri kwa ajili ya mitihani ndo tatizo lilipoanzia......mambo yanaulizwa ya kawaida sana sema tunakosa mbinu tu kwenye kujibu lakini pia time management
 
Back
Top Bottom