Utumishi wanamaanisha nini hapa?

njanoj17

Member
Apr 7, 2014
25
45
Habarini wanajamvi,

Napenda kwa anayejua anipe maelekezo kidogo kuhusu Kuitwa kwenye Interview na Utumishi, Kuna Tangazo walilitoa tarehe 9/12/2017 lenye Kumb.NaEA.7/96/01/J/69 kuitwa kwenye Usahili, hapo Niliiona jina langu na jana Tarehe 13/12/2017 kupitia tangazo lao lenye Kumb.NaEA.7/96/01/J/73 wametoa orodha nyingine ya majina kwa kada ileile na jina langu halipo inakuaje kwa situation kama hii?

Msaada please.
 
Mar 28, 2014
17
45
Usije ukaenda ukakuta jina halipo, kama hujioni tangazo la pili, maana yake wamefanya marekebisho hivyo hata ukienda hutafanya kwa sababu wasimamizi watakosa pa kukuweka na watakuwa hawajakuandalia examination number.

Ushauri wangu ni kwamba ukiamua kwenda wahi mapema hata siku nne kabla na udownload na kuprint matangazo yao yote uwaambie warekebishe.

Nb. Secretariet ya ajira ni Wasikivu sana, maana nakumbuka tulifanya written alafu oral ikaonekana baadhi ya watu walikuwa wanastahili kuitwa oral ila kimakosa hawakuitwa, waliwataarifu wakawaongeza kwenye orodha.
Ninaimani ni wasikivu na watakusikia
 
Asante kwa ushauri ila muda umekimbia maana siku iliyobaki ni kesho (Ijumaa) tu, kwa kua jumamosi ndio Interview yenyewe
 
MUL

Member
Oct 5, 2016
67
125
Hata Mimi. Linanipa kizungumkuti.. Maana hata mimi niliitwa kwenye tangazo lao la 9/12/2017 tangazo la 13/12/2017 jina langu halipo.. Sijielewi hadi saivi.. Nahisi kukata tamaa ya kwenda
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,035
2,000
Usije ukaenda ukakuta jina halipo, kama hujioni tangazo la pili, maana yake wamefanya marekebisho hivyo hata ukienda hutafanya kwa sababu wasimamizi watakosa pa kukuweka na watakuwa hawajakuandalia examination number.

Ushauri wangu ni kwamba ukiamua kwenda wahi mapema hata siku nne kabla na udownload na kuprint matangazo yao yote uwaambie warekebishe.

Nb. Secretariet ya ajira ni Wasikivu sana, maana nakumbuka tulifanya written alafu oral ikaonekana baadhi ya watu walikuwa wanastahili kuitwa oral ila kimakosa hawakuitwa, waliwataarifu wakawaongeza kwenye orodha.
Ninaimani ni wasikivu na watakusikia
Ushauri murua!
 
njanoj17

Member
Apr 7, 2014
25
45
Hata Mimi. Linanipa kizungumkuti.. Maana hata mimi niliitwa kwenye tangazo lao la 9/12/2017 tangazo la 13/12/2017 jina langu halipo.. Sijielewi hadi saivi.. Nahisi kukata tamaa ya kwenda
Mimi nitafanya kama nikivyopewa ushauri wa hapo juu na wadau
 
BerniceF

Member
Dec 12, 2017
62
125
Hayo majina ya tarehe 13 ni ya nyongeza haiwwzekani majina elfu moja yapigwe chini afuu Mia Tatu ndyo yachukuliwe!!
Ukiangalia list ya tareh9 hawajatokea tar13..Acha woga
 
likandambwasada

JF-Expert Member
May 27, 2015
5,414
2,000
MKUU, BILA SHAKA UNAMAANISHA NAFASI ZA WATENDAJI KATA GRADE II (MANA NAONA UNAFICHA)

NI HV, TANGAZO LA KAZI LINATAKA WATU WALIOSOMA MANAGEMENT YA SERIKALI ZA MITAA (LG MANAGEMENT) PAMOJA NA SHERIA.

KILICHOTOKEA WAKASHORTLIST KIMAKOSA KUWAINGZA WATU WA HR, UTAWALA, SOCIALOGY, COM DVT ETC

HVYO IKABD UFANYKE MCHUJO WAKAPATKANA WATU 300

HVYO KM HUNA DEGREE YA LAW AU LOCAL GVT, LAZIMA UKATWE, NA HATA UKIENDA UTAKUTANA NA HYO HOJA, ILA KAMA UNA SIFA NENDA.
 
dariro

JF-Expert Member
Mar 26, 2016
266
500

Sasa kwa nini mlikosea mkuu, halafu basi mutie taarifa ya kuwafuta wale wa awali kiepusha usumbufu
 
njanoj17

Member
Apr 7, 2014
25
45
MKUU, BILA SHAKA UNAMAANISHA NAFASI ZA WATENDAJI KATA GRADE II (MANA NAONA UNAFICHA)

NI HV, TANGAZO LA KAZI LINATAKA WATU WALIOSOMA MANAGEMENT YA SERIKALI ZA MITAA (LG MANAGEMENT) PAMOJA NA SHERIA.

KILICHOTOKEA WAKASHORTLIST KIMAKOSA KUWAINGZA WATU WA HR, UTAWALA, SOCIALOGY, COM DVT ETC

HVYO IKABD UFANYKE MCHUJO WAKAPATKANA WATU 300

HVYO KM HUNA DEGREE YA LAW AU LOCAL GVT, LAZIMA UKATWE, NA HATA UKIENDA UTAKUTANA NA HYO HOJA, ILA KAMA UNA SIFA NENDA.
Nashukuru kwa bahati nzuri majina ya leo na la kwangu lipo na namba nimepewa, tunaomba kama kuna dondoo jamani mtusaidie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom