Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,640
- 4,426
Kazi ya Mungu sio fursa kwa waliokosa au wasio na sifa za kupata ajira. Wengi wamejipa UTUME, UNABII, UCHUNGAJI, UASKOFU kama kazi na sio utumishi .
Miujiza sio mbadala wa kutokufuata kanuni zinazoongoza dunia.
umaskini na ufukara sio mapepo, ni Ujinga. Ujinga hauondoki kwa kukemewa, mjinga anahitaji elimu na uelewa kuhusiana na jambo husika.
Jawabu la ujinga ni Elimu, maswala ya Pesa na uchumi yanaelimu yake . Tunahitaji kujifunza , hakuna short cut!
Umaskini hauondolewi kwa maombi bali kwa elimu ya fedha. Chumvi, maji yaliyoombewa hayawezi kukufanya uwe tajiri kama hufuati kanuni za fedha.
Najisikia taabu sana a Christian PhD hold the moment anaingia kwa mlango wa kanisa , anaacha kuhoji , kuuliza na kudadisi kuhusu maandiko.
UTUMISHI UKIGEUKA KUWA KAZI UNAWEZA SEMA AU FANYA CHOCHOTE ILIMRADI UPATE FEDHA .
Kuna makanisa yanadai fungu la kumi kama kodi ya kichwa !