Nyie ni Mungu coz ndo hawah wala hachelewiDogo Mbona Unatutukana Sisi hatuwahi wala hatukawii.
Hahaaaaa.... In fact Kila mtu yuko anxious.....ni bora wakatoa tuu Jomoni...watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu.
Kwakweli...watoe majibu...watu hatuli tukashiba kisa wao?watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu.
Watofautishe utumishi na secretariat ya ajira mkuuuwatu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu.
Hatupangiwi kazi unasikia......na tungejua ID yako Halisi tungekata jina lako(kama ungekuwa umepita)watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu.
kwa nini umeacha?Mimi nishaacha kabisa ku apply kazi kabisa