Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,666
- 6,742
Haya sasa wametoa!
Tupeni mrejesho mliosubiri mpaka
Tupeni mrejesho mliosubiri mpaka
Sipati kazi kila nikiomba... Bora nifanye biashara nitakuwa tajiri kuliko kuajiriwakwa nini umeacha?
huwa unafika oral? au unaishiaga written?Sipati kazi kila nikiomba... Bora nifanye biashara nitakuwa tajiri kuliko kuajiriwa
teh uchocheziHaya sasa wametoa!
Tupeni mrejesho mliosubiri mpaka
Pole mkuunimekosa..ila bora wametoa mtu ujue moja
watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu.