Utotoni dalili ya kwanza kuwa wewe ni wa kiroho or chosen one

Utotoni dalili ya kwanza kuwa wewe ni wa kiroho or chosen one

Huu ni uwongo wa hali ya juu sana. Mbona 'Lucas mwashambwa' anakojoa kitandani Kila kukicha na hakuna anachokifanya?
Lukas mwashambwa mpaka anajinyea kitandani makomredi wa sisiemu walisha mdukua kijambio center bolt 🔩 vilisha legea kitambo sana ...sikuizi yupo ndani ya pampers hadi wanamuita PAMPERS BOY
 
Dalili moja wapo ambayo ni sign tosha kwamba muhusika ni mtu ambae Dunia inamtalajia kumtumia kama Mtendakazi au kiongozi wa mambo muhimu ya Kiroho ni hii

KUKOJOA KITANDANI.
i. Mtu wa kiroho ni mtu anapokea nguvu na maagizo rohoni na kufanyia kazi mwilini.

Kwanza Tafsiri ya ndoto kuwa unaota ukikojoa au kwenda haja kubwa ni kwamba...

ii. Kama ilivyo kwa Mwili unahitaji kwenda toilet kujisafisha kwa kutoa visivyohitajika mwilini, na Roho ni hivo hivo.
When God remove unclean things to your Soul ni kitendo cha purification or Cleaness kiroho.

iii. Pia kitendo cha mtu kuona jambo ndotoni ni dhahili linatokea kiasi cha kwamba mwili unashindwa kujizui na kusupport ni dalili tosha kwamba Mwili wako umeumbwa kupokea vitu vingi rohoni.

iv. Mungu kuonesha utofauti kati yako na watoto wengine ni utajikijolea sana kitandani hadi pale utakapoa anza kujua kukusanya maarifa ya kiroho kwa kumjua Mungu tangu utotoni.

Nature ya Dunia ni kwamba, Kila chenye thamani kina gharama zake.

Ronaldo au Messi kuwa footballer's kuna gharama wamelipa, kimaisha. Unazijua? Maumivu ni mengi

There is a price to pay to get something Wealth.
Mmmh sijui
 
Vikojozi mostly wanakujaga kuwa na bahati maishani,,

Mi nakumbuka kuna washkaji utotoni walikuwa vikojozi konki mixer kutembezwa hadi kindumbwe ndumbwe mtaani, kwasasa eti ni famous na Wana mawe
hata mimi nina ushahidi wa watu maarufu wamepitia kubebeshwa godoro la mikojo na kuimbiwa kindumbwe ndumbwe

Jamaa hajaelewa kafikiri naongelea Mamlaka,
Naongelea dalili ya kipaji chenyewe sio mamlaka inayokuja baada ya kuelimika na kuanza kufanyia kazi kipaji husika.
 
Sawa, ngoja tusikie mawaidha ya MAMA MANYUMBU Lucha
Kumbuka pia kipaji cha kazi za kiroho usipo kijenga Mungu anavyotaka inageuka kuwa mateso kwa muda mrefu.

just why unakuta ni kikojozi utotoni mixer na ufala mwingi kwani shetani nae atakuwinda mapema usifikie ndoto zako ambazo ni hatari sana kwake.
 
Kipaji tafsiri yake ni strength zone eneo ambalo unafanya vizuri.


Mfano Mimi wakati nipo nasoma nilikuwa nina ile kitu inaitwa .

Photographic memory

Yaaani once I glanced at something I could recall it on test or exam very easy .

As well i could do math in my head n.k

So Endapo ningesema i have to take this shit far , ningekuwa Academicians or wherever.

So binadamu huwa ana Eneo ambalo ana strength nalo kwahiyo akiweka nidhamu , juhudi mwisho ndo huitwa kipaji na kuwa mkubwa Sana .

Hii haipo kiroho.
Sentensi yako ya mwisho, "hii haipo kiroho," ndo imeharibu kila kitu. Ukisoma wakorintho, hizo karama huwa zinatoka kwa roho mtakatifu. Sasa kama wewe ulikuwa na hiyo karama ukaitupa, hiyo ni shauri yako. Lakini haya mambo ni ya kiroho.
 
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mambo yote yatakayo kusababishia matatizo
 
Sentensi yako ya mwisho, "hii haipo kiroho," ndo imeharibu kila kitu. Ukisoma wakorintho, hizo karama huwa zinatoka kwa roho mtakatifu. Sasa kama wewe ulikuwa na hiyo karama ukaitupa, hiyo ni shauri yako. Lakini haya mambo ni ya kiroho.



DINI NA BIBLE NA QURUAN HIVI VITU VIMEKUJA JUZI ILA BINADAMU YUPO ANA MIAKA ZAIDI YA 1M

Ni muhimu kukubali ukweli kuwa dini ni man made and not GOD made .
 
Personally, sijui kama niko sahihi,

Ila

Nimekuja kugundua maisha ni maisha tu, hakuna kitu ambacho ni supernatural kinacho monitor au kudirect mwelekeo na spidi ya kila mtu.

LIFE IS LIFE
Mi nahisi haupo sahihi, labda kama huamini katika Mungu. Ila kwasisi waamini, kuna mambo mengi sana ya kiroho yanatendeka kwenye maisha.
 
Huu ni uwongo wa hali ya juu sana. Mbona 'Lucas mwashambwa' anakojoa kitandani Kila kukicha na hakuna anachokifanya?
Kama Lucas Mwashambwa anakojoa kitandani basi itakuwa ana karama kubwa ya kiroho. Na kitendo cha yeye kukojoa kitandani ina maana ni machukizo ya Mungu kwa kutaka kuitupa karama hiyo na kuandika upuuzi.

Kikojozi mwingine ni Lucha
 
Vikojozi mostly wanakujaga kuwa na bahati maishani,,

Mi nakumbuka kuna washkaji utotoni walikuwa vikojozi konki mixer kutembezwa hadi kindumbwe ndumbwe mtaani, kwasasa eti ni famous na Wana mawe
Kuna ukweli mm nimepitia hayo nimekula viboko,kutembezwa mtaani ukirudi kuanika godoro la Sufi zito ni kudondoka nalo hakuna kusaidiwa,nilikuja kuacha darasa la sita Ila nilikuwa ninapewa pesa na mfadhili dah maisha haya
 
Hapo ndiyo umeshaharibu , Lucas Mwashamba hawezi kuwa gifted kamwe
Shetani mwenyewe yuko Gifted ndio maana anajulikana sana, na anatajwa sana, shida ni yuko corrupted baada ya kukosana na Mungu by he still anointed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom