Naumwa Hatari
"Laa baasa ttwahuur..."
Raha sana natamani kurudi utotoni
Duu nini tena best pole Sana Sana nini zaidi
ukirudi huko kuna vingi vya ukubwani utavikosa na kuvi-miss!
Hahahahah i don't think so
"Laa baasa ttwahuur..."
Trust me...usirudi utotoni...kwanza hutakuwa unaitwa mama...
Raha sana natamani kurudi utotoni
Aaah wapi babies always wa cute