Utoto kweli raha: Kujipikilisha.

Utoto kweli raha: Kujipikilisha.

Raha mno ila ukiwa na mtoto wa kiume akawa kila siku yeye ndio anageuzwa mpishi au kama hakuna wa mtoto wa like yeye ndio anafanywa mama ujue Kuna tatizo
 
Hizi moment za utoton full raha tena ndo ukutwe na mama umetok iba mafuta store ili mkajipikilishe utamu tupu
 
baada ya kujipikilisha na mkala...ni mda wa kulala hapo ndo nilikuwa na papendaa sana.watoto chumba chao baba na mama chumba chao hahaaa
 
Kwenye huu mchezo nilikuwa naambulia kuwa mtoto tu, kuna siku nilikuwa baba. nilifanya kweli
 
Yaan wakati mimi nikiwa baba kale katoto ambacho jana yake kalikuwa baba kalikuwa kanatulia chabo mi na mama mpaka nikasema basi

kanalinda mama asichepuke yaan nakambia haya laleni wanangu mimi niko na mamaenu chumbani kanafunga jicho moja ilibidi nikaambie

basi tufute urafiki.
 
Yani mbwembwe zote hizo zinaishia kwenye kulala. Mama na baba chumba chao mwe mwe mwe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom