Utoto bwana!!

Utoto bwana!!

Lol am very happy baada ya kuisoma hii thread!
 
Ukipita makaburini ni lazima kukunja vidole vyako na hutakiwi kuonyesha kidole makaburi.
 
ili uwe na meno meupe ukiona nyange nyange imba nyange nyange nipe meno meupe

nyange nyange alikuwa special for kucha!unanyoosha vidole hewani afu unaimba ule wimbo wa nyange nyange nipe kucha nyeupe!ha ha
 
Ukikojoa mtoni lazima useme nyoko otherwise mama ako atakatika titi!ha ha!
 
Mtoto wa kiume ukipigwa na mwiko wa kusongea ugali hutaoa
 
Ukimwangalia mwenzio anakata kimba mamako atakatika matiti, 4 sure yalikuwa mafunzo mazuri ya adabu kwa watoto
 
Ukikojoa sehemu ambayo mwenzio ameshakojolea mama yako atavimba titi
 
Dah! Nakumbuka nikiwa mdogo niliendaga mbeya vjijini basi ukikojoa lazma utemee mate usipofanya hivyo mtu akiluka mkojo wako utaumwa tumbo mpaka basi! Sasa kisaikolojia mpaka leo
na ukubwa wangu lazma niteme mate nikikojoa sio kwamba ntaumwa tumbo bas mazoea!!!
Af nakumbuka nikiwa std 2 watu walisema ukichukua kucha ya kunguru ukaweka sehemu ambayo kakojoa mdada basi utaona anakufuata mwenye na kukwambia anakupenda! Sasa baba kazin kwao kipindi kulikuwa na miti mirefu akaua kunguru 2 ili tuwapeleke kwenye shamba la karanga tuwatundke ili kuwatisha kunguru wengne wasile kalanga
sasa wacha tuwang'oe makucha kunguru
tukaweka mifukoni!
Tunawekea hata watu waliotuzid umri ilimradi ulimuona wakati anakojoa na ni mzuri tu! Mwisho wa siku horaaaaa!!!!!!
Proud uswazz!!
 
Ukitema mate ovyo barabarani utotoni tuliambiwa mdomo unaota majipu.
 
Ukimwona kinyonga unatemea nguo mate nje na ndani huku ukisema tu tu tu tu mbakasia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom