Utoto bwana!!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Kuna vitu tulikuwa tukiambiwa utotoni vinafurahisha.
Mfano:
1:Ukidokoa mboga mikono yako itaota funza.
2:Ukimruka mwenzako hakui,anabaki kua mfupi.
3:Ukijisaidia pembeni ya shimo unaota nzi tumboni!
4:Ukipiga kelele shetani anakufwata{mwangwi}
Je,wewe unakumbuka yapi uliyo tishiwa utotoni?
 
Nilishindwa kuvaa suruali, ilibidi dada yangu anivue suruali akimbie nyumbani kunichukulia kaptura safari ya kwenda kanisani iendelee, utoto bwana we acha tu, natamani kurudia utoto lakini ndo ishatoka hiyo.
 
Umetisha!!!!
 
Ukila chakula huku umesimama utapigwa kibao na shetani.ukipiga chabo vyumba vya watu utakuwa kipofu ukubwani.
 
ukikojoa njiani mama yako anakatika ziwa,ukilia usiku shetani anachukua sauti,dah ila utoto umejaa uongo aisee!
 
ukila chakula ili wakuamini kwamba umeshiba wanasema "hebu tuone tumbo" basi unavimbisha kuonyesha tumbo limejaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom