Utoto bwana!!

Utoto bwana!!

babu yetu alikua anatuambia "Uki ua Chura wingu litashuka na kukufuni" na tulikua tunaogopa ile mbaya, kuna silu tukasafiri kwenda kwa Aunt tukakuta watoto zake na marafiki wanaenda kwenye madimbwi wanaopoa Chura na kuwaua
 
Tulikuwa tunaambiana kuwa uki sex na mtu mzima unaungua kifanyio!
 
babu yetu alikua anatuambia "Uki ua Chura wingu litashuka na kukufuni" na tulikua tunaogopa ile mbaya, kuna silu tukasafiri kwenda kwa Aunt tukakuta watoto zake na marafiki wanaenda kwenye madimbwi wanaopoa Chura na kuwaua

Umenikumbusha kituko hicho!!!
Sijui kwanini watoto wanapenda sana kuua vyura!!!
 
Uking'oa jino uweke chini ya mto asubuhi utakuta sh dala
 
Mama angu aliniambiaga kusex ni mchezo mbaya basi nilifanya mchezo mbaya na kabinti ka kipemba kalikuwa kanaitwa wazha tulichapwa sana. nilikuwa nikienda morogoro kwa babu nakojoa kitandani mpaka wananiita kiko yani kikojozi nilikuwa naota kama nipo kichakani nimejificha mademu wasinione nakojoa kumbe nipo kitandani ilikuwa raha sana pale boma road miaka ya tisini mwanzon na semanini mwishoni
 
nimekumbuka wimbo wa mr. ebbo maneno mbofumbofu
 
Tuliambiwa na kaka yetu kuwa ukitaja nyoka usipotema mate na kusema "Mungu pishia mbali sio mimi niliyesema ni mchawi" nyoka atatokea na kukung'ata. Basi kaka yetu mkubwa akawa anatutesa kweli mimi na mdogo wangu. Anakuja mbele yetu na kusema nyoka, nyoka, nyoka mara nyingi tu. Sisi kwa ajili ya imani kuwa nyoka atatokea tulikuwa tukitema mate na kusema hayo maneno hapo juu. Kwa kila mtajo mmoja wa nyoka tulikuwa tukitema mate na kusema hayo maneno. Basi kaka yetu anaweza kutamka hilo neno mfululizo hata mara 50. Tulitema mate hadi yanakauka mwisho tunalia na kumkimbilia mama tukidai kaka anatuchokoza, anataka nyoka waje. Utoto jamani! Lakini natamani nirudie utoto mie!
 
ukila huku unaimba utaolewa mbali..so mama hautomuona tena.
 
uking'oa jino lazima ulitupie juu ya bati... la sivyo hauta ota meno
Unalitupia juu ya paa ili kunguru au mjusi aje alichukue halafu anakurejeshea jino jipya zuri zaidi.
 
Mama alinipiga biti nisichezee kinyonga kwasababu kitanirukia kichwani halafu kitang'ang'ania bila kutoka mpaka aje shangazi yangu aje akitoe kwa kutumia ubeleko ambao ulitumika kunibebea nikiwa mtoto mchanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom