Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwao*
Haahaaahaaaa.... ulikomaje?Niliwahi kuficha Kiatu kimoja cha Rafiki yangu sehemu lengo asumbuke then nikamuoneshe Kumbe wakat naficha kuna Mtu aliniona akaiba akaondoka Nacho sasa baada ya Jamaa kusumbuka nikamwambia acha ufala Kiatu chako nilikificha sehemu Fulani ngoja nikakuletee kufika kule bila bila daah niliumbuka nikaunganisha Nyumbani sikurudi
Haaaahaaaaaaaaaaaaaa haaa haaaaNilikuwa nachukua ndala ya pili naichanganya na ya kwanza kunakuwa hamna goli
ha hahahahhahaaaaaaaNiliwahi kuficha Kiatu kimoja cha Rafiki yangu sehemu lengo asumbuke then nikamuoneshe Kumbe wakat naficha kuna Mtu aliniona akaiba akaondoka Nacho sasa baada ya Jamaa kusumbuka nikamwambia acha ufala Kiatu chako nilikificha sehemu Fulani ngoja nikakuletee kufika kule bila bila daah niliumbuka nikaunganisha Nyumbani sikurudi
Umenifurahisha sana nitakutumia vocha*utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwao*