hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 470
- 328
Naomba ufafanuzi hapaPia unaweza kuwa Lecturer bila kuwa na PhD Cha muhimu uwe na machapisho mengi.
Naomba ufafanuzi hapaPia unaweza kuwa Lecturer bila kuwa na PhD Cha muhimu uwe na machapisho mengi.
Ukiwa na master's degree, alaf ukawa ni mtu Kwa kupublish papers katika journals tofauti tofauti za vyuo mbalimbali, Kuna points utapata ambazo zitaweza kuku-upgrade kuwa lecturer bila kusoma PhD.Naomba ufafanuzi hapa
Ukiwa na master's degree, alaf ukawa ni mtu Kwa kupublish papers katika journals tofauti tofauti za vyuo mbalimbali, Kuna points utapata ambazo zitaweza kuku-upgrade kuwa lecturer bila kusoma PhD.
Kuna tofauti ya mtu kuwa na PhD na kuwa lecturer. Si lazma mtu akiwa lecturer basi awe ni PhD holder. Huyu mtu ambae ana master na amepublish several papers na kupata point kadha atabaki kuwa masters holder lakini ni lecturers.Ndio tunaita PhD ya gani? Hii
Kuna tofauti ya mtu kuwa na PhD na kuwa lecturer. Si lazma mtu akiwa lecturer basi awe ni PhD holder. Huyu mtu ambae ana master na amepublish several papers na kupata point kadha atabaki kuwa masters holder lakini ni lecturers.
Habari zenu wana JF
Naomba kuuliza utofauti wa hawa watu watatu,,,na ni kwa namna gan mtu anaeza timiza ndoto yake ya kuwa lecturer?
Kuita kosa "aibu" ndio shida ilipoanzia. Na wewe kubali kukosolewa.Suala siyo tu kuelewa na kurekebisha ulipokosea! Tatizo letu hatupendi kuambiwa ukweli!
Kaa na ujinga wako! maana huo siyo upumbavu
Hapana sio uchafu mtupu. Kakosea labda hajui... muelekeze vizuri tu mbona wote tuki safari ya kujifunza? Ukiona unajua kila kitu na huna cha kujifunza ujue siku zako duniani zimeisbia. Ukiona mtu ana mengi ya kujifunza ujue bado ana musa sana hapaLecture= Lecturer, Assistant Lecture= Assistant Lecturer.
Wewe ndiye unatafuta ajira hujui hata kuandika titles za watu kweli? Na hapo pengine unajiita msomi nwenye degree. Kweli elimu yako ni uchafu mtupu. Hii inatisha sana!
Hapana, Assistant Lecturer haruhusiwi kufundisha mwanafunzi wa Master DegreeUpo sahihi mkuu.
Tutorial Assistant - anaweza kusimamia semina na mijadala na sio kufundisha wanafunzi wa ngazi ya shahada ya kwanza
Assistant Lecturer - anafundisha wanafunzi level ya bachelor degree na hata Master
Lecturer - anafundisha ngazi zote
Nini hii Sasa?Pia unaweza kuwa Lecturer bila kuwa na PhD Cha muhimu uwe na machapisho mengi.