Utofauti wa Lecture, Assistant Lecture na Tutorial Assistant ni upi?

Utofauti wa Lecture, Assistant Lecture na Tutorial Assistant ni upi?

Tutorial Assistant- Anamiliki shahada ya kwanza (Bachelor Degree)

Assistant Lecturer- Anamiliki shahada ya umahili (Masters)...
Upo sahihi mkuu.

Tutorial Assistant - anaweza kusimamia semina na mijadala na sio kufundisha wanafunzi wa ngazi ya shahada ya kwanza

Assistant Lecturer - anafundisha wanafunzi level ya bachelor degree na hata Master

Lecturer - anafundisha ngazi zote
 
Tutorial Assistant- Anamiliki shahada ya kwanza (Bachelor Degree)

Assistant Lecturer- Anamiliki shahada ya umahili (Masters)

Lecturer - anamiliki Shahada ya Uzamivu (PhD)

Akiongeza machapicho anakuwa Senior Lecturer.

Nipo tayari kurekebishwa!!
upande wa GPA
 
Habari zenu wana JF

Naomba kuuliza utofauti wa hawa watu watatu,,,na ni kwa namna gan mtu anaeza timiza ndoto yake ya kuwa lecture???
Mwenye huu Uzi nakushauri omba moderators warekebishe...hakuna Assistant Lecture huyu HAYUPO aliyepo ni Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer ...... Lecture? aiseee aibu aibu aibuu
 
Mwenye huu Uzi nakushauri omba moderators warekebishe...hakuna Assistant Lecture huyu HAYUPO aliyepo ni Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer ...... Lecture? aiseee aibu aibu aibuu
hujaelewa???[emoji23][emoji23]
 
Pumbavu sana. Binadamu ameumbiwa kukosea sasa cha ajabu nini?Unapo gundua mtu kakosea njia huwa unafanya nini?
Mwenye huu Uzi nakushauri omba moderators warekebishe...hakuna Assistant Lecture huyu HAYUPO aliyepo ni Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer ...... Lecture? aiseee aibu aibu aibuu
Vu
 
Sasa ndo umeongea nini hapo?! Wale wa kujitia wajuaji kumbe bado mpo tuu dunia hii?! [emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1487]

We unaejua zaidi andika uzi wako kwenye jukwaa la great-thinkers kama wewe
Hamtaki kurekebishwa! huwezi ita mwalimu wako lecture haipo! Huo ndo ukweli. Kubali kurekebishwa usijezingua mbeleni nyau wewe
 
Tutorial Assistant- Anamiliki shahada ya kwanza (Bachelor Degree)

Assistant Lecturer- Anamiliki shahada ya umahiri (Masters)

Lecturer - anamiliki Shahada ya Uzamivu (PhD)

Akiongeza machapicho anakuwa Senior Lecturer.

Nipo tayari kurekebishwa!!
Very true[emoji106]
 
Back
Top Bottom