Mswiss
Member
- Mar 6, 2018
- 58
- 63
Imekuwa kero Sana, wanavamia vamia kila mahali,however serikali inaendelea kula Gud time.
Miji imekuwa shagalabagara,
Tutegemee nini hasa baada ya mda wa miaka michache inayokuja?,aibu sana, wameziba kila kona hata juu ya mitalo ni vibenchi.
Serikali za majiji hazina nguvu tena juu yao.!shame
Kama hakutakuwa na mkakati wakuwaondoa Hawa jamaa tutaraji nini?
They are fuc*ng everywhere ..
Nawasilisha