President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Nipatie jibu. Where does energy come from?Very very weak arguments
Ni wanasayansi wa Mzumbe tu ndyo wana mawazo shallow hivi
Very very weak arguments
Ni wanasayansi wa Mzumbe tu ndyo wana mawazo shallow hivi
Yes. Ukienda zaidi kama wewe ni mwanasayansi utahoji uwepo wa energy. Imetokea wapi? Mbona energy ipo kila sehemu?View attachment 2603202
Mkuu, Human being is a work of art& engineering.... Yani Mtu alivyo tu inaonyesha kuna ufundi ambao umefanya mpaka ukaona mifumo yote kwenye mwili wa binadamu kuanzia:-
1. Respiratory system
2. Digestive system,
3. Circulatory System
4. Nervous System
5. Endocrine system
6. Muscular system
7. Skeletal system
8. Immune system
9. Urinary system
10. Reproductive system.
Yani, Ingetosha kabisa kuangalia mwili wako na jinsi unavyofanya kazi kujua kwamba kuna DESIGNER aliyeweka mifumo yote hiyo., Au kama unahisi mwili wa binadamu na jinsi unavyofanya kazi umejitokeza tu from nowhere, let's conclude that hata robots tunazoziona zimejitokeza tu from nowhere..... Does it make sense?
Umetoa definition ya energy hapo juu.Nipatie jibu. Where does energy come from?
Upumbavu wa mwanadamu ni pale anapofika mahali akaamini kitu ambacho hata dhamiri yake inamshuhudia kuwa alichoamini ni upumbavu!! Yaani mtu anaamini kuwa mifumo yote ya uhai uliyoiorodhesha na ambayo hujaiorodhesha ilitokea tu kama matokeo ya ajali nzuri ( a good chaotic interactions without any designer). Ni sawa na mtu kuamini kuwa inawezekana mtu akachanganya kalamu nyingi na karatasi nyingi kisha ikatokea barua inayosomeka na kukupa taarifa kuwa mkeo uliyemwacha ni akiwa na mimba amejifungua mtoto wa kike jana saa sita kamili ya usiku!!View attachment 2603202
Mkuu, Human being is a work of art& engineering.... Yani Mtu alivyo tu inaonyesha kuna ufundi ambao umefanya mpaka ukaona mifumo yote kwenye mwili wa binadamu kuanzia:-
1. Respiratory system
2. Digestive system,
3. Circulatory System
4. Nervous System
5. Endocrine system
6. Muscular system
7. Skeletal system
8. Immune system
9. Urinary system
10. Reproductive system.
Yani, Ingetosha kabisa kuangalia mwili wako na jinsi unavyofanya kazi kujua kwamba kuna DESIGNER aliyeweka mifumo yote hiyo., Au kama unahisi mwili wa binadamu na jinsi unavyofanya kazi umejitokeza tu from nowhere, let's conclude that hata robots tunazoziona zimejitokeza tu from nowhere..... Does it make sense?
Asante kwa maelezo yako.Umetoa definition ya energy hapo juu.
1. Energy haiteketezwi wala kuundwa/kuumbwa
2. Umesema kila kitu ni Energy
Mpaka hapo hujaona tatizo?
Maana yake huwezi kusema Mungu yupo na ni muumbaji wa vitu, wakati vitu hivyo vipo katika state ya energy ambayo awali umesema energy haiumbwi.
Na ukisema u fabricate hoja kulazimisha energy ionekane inaweza kuumbwa, basi utalazimika kutaja muumbaji wa huyo Mungu (kitu ambacho itakuwa ngumu kufanya)
Umeongelea vitu ambavyo vina energy, ambapo wewe umedai hiyo energy ime occupy sehemu ndogo ya hivyo vitu.Asante kwa maelezo yako.
Sasa naomba tuende kisayansi zaidi.
Kweli Law of conservation of energy inasema Energy does not be created nor destroyed.
Tunajua definition ya energy kutokana na matokeo inayofanya. Lakini Energy it self hatuijui.
Vilevile nikatoa maelezo kuwa all objects in the universe has Energy.
Niliendelea kueleza kuwa energy imehifadhiwa wapi sasa kwenye Atom? Nikaongelea Particle Physics nikieleza kuwa siyo kweye Atom yote kunakuwa na Energy but kwenye very small particles. Na ukienda ndani zaidi ya hizo small particles unakutana na vibrations.
Ndio maana kwa sasa wamekuja na theory nyingine inaitwa String Theory. Kutafuta hivyo vibration kitu gani kina vibrant?
Hatimaye utakutana na void (Emptiness). So hapo sasa tuongelee hiyo emptiness ni nini?
So hiyo emptiness inakuja ina comply na imani za dini kwamba there is a strong Existence which we don't know.
Sasa hiyo Existence wengine wataita Mungu, Allah nk.
Ndiyo maana nikakuuliza ueleze how energy became to be kama ilivyo.
Ukitoa maelezo hayo basi utakuwa umetufumbulia fumbo la kutokuwepo Strongest Existence. La sivyo tuendelee kusema kuwa sayansi mpaka leo ina prove existence of so called God.