Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

Status
Not open for further replies.
100 % confession toka kwa JUliana Shonza kwamba ulikuwa injinia wa usaliti kwa libwata la Zitto
Nyie watoto you too predictable yaani katika chama chenu cha wasaliti wote mumekuja na single ya kumuattack DR Slaa ndio maelekezo ya role model wenu mutengeneza matunguli na muua panya Zitto na vijeba vyake akina Mwigulu
Munatufikirisha kwamba tuanze kujiuliza uwezo wa wana vyuo wanaomaliza degree wanauwezo gani wa kumpambanua mambo embu Juliana GPA yako ni ngapi vile

Mwanamke umejivua nguo huna pa kutokea msaliti mumeipata itelijensia ya chama chenu madhubuti wame wa wahi kidogo
Tunataka majibu ya thread ya Ben saa nane wewe hukuchanjwa dawa kulinda maslahi ya Zitto mmh tuambie wana JF
Film part 4 hiyo imenoga kweli
 
Haya makubwa. Mbona kuna sehemu nyingi tu nje ya CDM kunakopatikana ujira mzuri kuliko anaopewa Hache, kwa nini msiende huko? Na chama sijui kinaogopa nini kuwachukulia hatua stahiki hawa!
 
Juliana , vipi kikao chako wewe , MArtine Shigela , Eddo MAkata , GWakisa, MWampamba na Mchange juzi jumamosi kilichofanyika Sinza na kuendelea jumapili LUnch time hoteli? Huko ulitumwa na Bavicha?

Vipi kuhusu wewe na Getrudi KOkukwenda kuishi nyumbani kwa Mwigulu Dodoma wakati wa vikao vya Bunge la bajeti mwaka huu? Ulikuwa umetumwa na Bavicha?

Umeendeleza ushahidi kuhusiana na maneno ya Ben kuwa mlikubaliana kuwatenganisha viongozi wakuu yaani Mbowe na Dr.SLaa , na hapa umeendeleza kuwa mbaya wako ni Dr.SLaa , huyu anahusika vipi na Bavicha?

Vipi kuhusu kauli yako ya kumtetea Shibuda , na kupingana na Mwenyekiti wako , sakata la kuchunguzwa limeisha ama laa,

Naijua Intelijensia ya CDM kwa kweli ni hatari , mmeshikwa pabaya , chutama mtoto wa kike uko uchi...........,,,

Aidha, naona umeandikiwa ama na Mwampamba kwani paragrafu tatu za kwanza zinafanana na alichoandika Mwampamba katika utetezi wake , mko wote ? Hakika hufai hata kuwa mwenyekiti wa msingi kama akili zako ni za kushikiwa kiasi hicho.........

Safari yenu ya kwenda nje ya DSm lini? ........
 
Sasa hii ndio kitu tunataka. Mods please msizifunge hizi mada mpaka wote waje wateme nyongo zao zote. Huu ndio ukweli na uwazi tunaoutaka mpaka kila mtu aambiwe mapungufu yake na hapo ndio chama kitakaa sawa. Kama kuna mtu yoyote ambaye pia anajua jinsi gani wanapata ufadhili toka CCM kwaajili ya kuharibu chama naye auweke hapa. Hii italeta kuheshimiana na chama chetu kitakuwa imara sasa.
bado wa kitila mkumbo nadhani atawanyoosha kisawasawa
 
Mwlm gfsonwin tafadhali njoo picha lingine limeanza mapema!

Asante juliana kwa kukubali uliuwa pamoja na Ben, zitto katika kusaliti chama!

unajua nini Ruttashobolwa toka muvie ianze hawa akina Zitto &co wamekuwa wote wakimkana huyu ben saa8 sasa najiuliza kama hawakumjua waliwezaje kushirikiana nae hadi kutaka kwenda kuapizana kwa mganga?
 
Last edited by a moderator:
tungempa urais tumekwisha,Naona anahujumu vijana ndani ya chama.Au kwasbabu ni binti?
Aah hata wale vijana wanaogeuza geuza macho pale lango la jiji hawawezi kuwa na akili za kuchangia kama zako aibu Mkuu Taswira unajulikana lakini ,jitahidi imejulikana ID ya TUntemeke and co. imekuwa Taswira toka jana munapokezane mumechezeshwa mchakamchaka mtakuja wote ku repent dhambi zenu chezea Jamii Forum Kisima cha wenye akili wote nyie mutajitaja wasaliti wakubwa mchana kweupe ,mumelowa mulikuwa munaandika line sita mpaka kumi sasa ni maneno manne matano hamna cha kujitetea nchi hatutaki wasaliti period
 
Niliwahi kuandika huko nyuma kwamba kuna shida kubwa sana ya viongozi ndani ya CHADEMA. Haya sasa, naona JF imekuwa kikao cha chama. AIBU KUBWA ILIYOJE KWA AINA YA VIONGOZI TULIONAO.
 
Juliana Shonza kweli wewe ni graduate??hii nchi kweli inazalisha wajinga,graduate hata kuandika haujui?ulifaulu vipi mitihani ya o-level na a-level?kazi tunayo,sasa kama kuandika tu ni matatizo,je kujenga hoja na kuzielewa hoja unaweza kweli?mmmh sina hata la ku comment kwenye huo u.h.a.r.o uliouanika hapo juu,kumbe kweli kukaa kimya kunasaidia watu kutokukujua ni mjinga kiasi gani
 
Kitila mkumbo anakuja hapa soon,Kuanika maovu.Nyakarungu ndio usiseme anamvua mtu nguo.Ben saaanane ni sumu
Aje tuu Dr Kitila MKumbo mkuu wa DUCE tunamgoja atatueleza yote muliyokubaliana kwenye kikao chenu na sisi hatutambakiza msaliti mkubwa PHD holder anatumikaje na mchawi wa matunguri Zitto siwezi amini mpaka nimuone hapa na tunamgoja hatulali leo wasaliti wote wademocrasia chinjilia mtoni
 
I think mmeshajijua kuwa mmenyea kambi. Na nyie nyie mnapaswa kuchagua aina ya kifo mnacho stahili.
 
Juliana Shonza kweli wewe ni graduate??hii nchi kweli inazalisha wajinga,graduate hata kuandika haujui?ulifaulu vipi mitihani ya o-level na a-level?kazi tunayo,sasa kama kuandika tu ni matatizo,je kujenga hoja na kuzielewa hoja unaweza kweli?mmmh sina hata la ku comment kwenye huo u.h.a.r.o uliouanika hapo juu,kumbe kweli kukaa kimya kunasaidia watu kutokukujua ni mjinga kiasi gani
kama hunahaja ya kuoment hapa umefanya nini?
Unaangali kilihoandikwa au unakagua spelling?Ila alihokiandika ben saa nane ndicho kimekamilika.Fiha upumbavu wako,onesha hekima yako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom