Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

Status
Not open for further replies.
kila mtu namjibu kulingana na jinsia yake.
nyie ndo waleta sumu wenyewe nyie, na mkae mkijua hatutakaa kimya tena ashukuru sana nimempa angalizo hilo kwani haya yanajulikana yapo ila huyu anaonekana bado kabisa kuujua upande wa pili wa shlingi.


Sumu ya nini kwa watu kama hawa?Mbona hawa wanasiasa wote tu ni wezi...at least kwangu! Nilichozungumzia ni hiyo lugha hasa kutoka kwa mwanamke mwenzake,na kwa jukwaa kama hili.
 
kujisaidia usahihi wake nini?Kwani kusema kiwete na mlemavu wa miguu tofauti nini, ni unafiki tuu ndio shida hapa.Kukojoa ni kujisaidia?Kukojoa ni kuanya kitu kilicho ktk uwezo wa mwili na hakuna msaada kwa mtu wala mwili wake.Nani kaita hawara mke?Nimetaja hawara wapi? kwa taarifa yako kiswahili nakijua sana, ila i dont care that much,siandiki thesis hapa.

Kwa waliokwenda jando kukojoa ni matusi; nikitoa ufafanuzi wa kukojoa naweza kula ban; na kimada ni mke?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
sasa kama Mungu atamhukumu nini tena kinakuwasha?Tangu mwanzo nilikuambia kuwa wewe ni mmbea tuu huna dili ukazidi refusha ubish hapa.Sasa kila mtu naona unapohamia

Kwani hujaanza kuona jinsi damu ya Wangwe inavyomuangaza?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom