Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,838
Mkuu Haki sawa hapo unamaanisha kwenda kwa kina Kinjeketile? aisee mbona wamekamatiwa pabayaJuliana , vipi kikao chako wewe , MArtine Shigela , Eddo MAkata , GWakisa, MWampamba na Mchange juzi jumamosi kilichofanyika Sinza na kuendelea jumapili LUnch time hoteli? Huko ulitumwa na Bavicha?
Vipi kuhusu wewe na Getrudi KOkukwenda kuishi nyumbani kwa Mwigulu Dodoma wakati wa vikao vya Bunge la bajeti mwaka huu? Ulikuwa umetumwa na Bavicha?
Umeendeleza ushahidi kuhusiana na maneno ya Ben kuwa mlikubaliana kuwatenganisha viongozi wakuu yaani Mbowe na Dr.SLaa , na hapa umeendeleza kuwa mbaya wako ni Dr.SLaa , huyu anahusika vipi na Bavicha?
Vipi kuhusu kauli yako ya kumtetea Shibuda , na kupingana na Mwenyekiti wako , sakata la kuchunguzwa limeisha ama laa,
Naijua Intelijensia ya CDM kwa kweli ni hatari , mmeshikwa pabaya , chutama mtoto wa kike uko uchi...........,,,
Aidha, naona umeandikiwa ama na Mwampamba kwani paragrafu tatu za kwanza zinafanana na alichoandika Mwampamba katika utetezi wake , mko wote ? Hakika hufai hata kuwa mwenyekiti wa msingi kama akili zako ni za kushikiwa kiasi hicho.........
Safari yenu ya kwenda nje ya DSm lini? ........
Last edited by a moderator: