Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kusema uchumi umeshuka kwa mtazamo wa hali inavyokwenda/unavyoona si tatizo bali kubuni namba/ takwimu za uwongo ndio tatizo.View attachment 621768 Alafu zitto anakamatwa eti katoa data za uwongo hii nchi inaelekea Zimbabwe
Utasubiri sana huo muda hautafika.Ngoja washindane na namba halafu siku wakishindwa kabisa waje watuambie tatizo ni ZZK.
Bahat mbaya wengine macho mnayo ila hamuoni, masikio mnayo ila hamsikii.Utasubiri sana huo muda hautafika.
Huo muda hautafika,hatuishi kwa utabiri siku hizi.Bahat mbaya wengine macho mnayo ila hamuoni, masikio mnayo ila hamsikii.
Siku yakizibuka hayo mtajishangaa kama mlikuwepo duniani au kaburini.
Unausubiri wakati ulishafika tayar sema upofu tu.Huo muda hautafika,hatuishi kwa utabiri siku hizi.
Hongera usiye kipofu.Unausubiri wakati ulishafika tayar sema upofu tu.
Ahsante kipofu na kiziwi kwa kusikia na kuona leo.Hongera usiye kipofu.
Fanya kazi kwa bidii stop lamentingHivi kwa ilivyo mbaya huku mtaani kazi hakuna biashara ngumu wao wanaona hali ni nzuri tu kweli mwenye shibe hawezi kujua mwenye njaa