Uthibitisho wa hali tete ya uchumi: Benki hali mbaya mikopo isiyolipika yafika 51%, wananchi washindwa kulipa madeni

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
IMG-20171101-WA0013.jpg
Alafu zitto anakamatwa eti katoa data za uwongo hii nchi inaelekea Zimbabwe
 
benki lazima zile hasra maana hata hizo dhamana hazinunuliki na kesi zinashinda mahakamani
 
Ngoja washindane na namba halafu siku wakishindwa kabisa waje watuambie tatizo ni ZZK.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom