Uthibitisho wa hali tete ya uchumi: Benki hali mbaya mikopo isiyolipika yafika 51%, wananchi washindwa kulipa madeni

  • Thread starter Return Of Undertaker
  • Start date

dafity

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Messages
1,487
Likes
1,195
Points
280
dafity

dafity

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2008
1,487 1,195 280
Mpaka waone benki zinafungwa ndio wataamini...
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
28,444
Likes
15,469
Points
280
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
28,444 15,469 280
benki lazima zile hasra maana hata hizo dhamana hazinunuliki na kesi zinashinda mahakamani
 
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
13,538
Likes
3,972
Points
280
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
13,538 3,972 280
Muda ni mwalimu mzuri sana,taratibu tutaongea lugha moja
 
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
6,723
Likes
3,538
Points
280
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
6,723 3,538 280
Mkuu uchochezi huo,Uchumi wetu unakua vizuri.
 
NTIGAHELA

NTIGAHELA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
266
Likes
55
Points
45
NTIGAHELA

NTIGAHELA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2014
266 55 45
Hivi kwa ilivyo mbaya huku mtaani kazi hakuna biashara ngumu wao wanaona hali ni nzuri tu kweli mwenye shibe hawezi kujua mwenye njaa
 
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
1,859
Likes
3,373
Points
280
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
1,859 3,373 280
Ngoja washindane na namba halafu siku wakishindwa kabisa waje watuambie tatizo ni ZZK.
 
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
5,706
Likes
8,046
Points
280
Age
40
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
5,706 8,046 280
Bora hata NMB walishazoea, ukitaka kuona myumbo halisi waulize CRDB mkuu. Unahtajika kuwa na akili ya KUKU kupinga kwamba hali ya uchumi si mbaya.
 
lendila

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Messages
5,076
Likes
2,731
Points
280
Age
30
lendila

lendila

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2012
5,076 2,731 280
Magazeti kama haya ykifungiwa kutakuwa kumebaki vipeperushi vya magazeti
 
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
1,859
Likes
3,373
Points
280
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
1,859 3,373 280
Utasubiri sana huo muda hautafika.
Bahat mbaya wengine macho mnayo ila hamuoni, masikio mnayo ila hamsikii.
Siku yakizibuka hayo mtajishangaa kama mlikuwepo duniani au kaburini.
 
C

chikundi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Messages
8,254
Likes
2,262
Points
280
Age
48
C

chikundi

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2016
8,254 2,262 280
Bahat mbaya wengine macho mnayo ila hamuoni, masikio mnayo ila hamsikii.
Siku yakizibuka hayo mtajishangaa kama mlikuwepo duniani au kaburini.
Huo muda hautafika,hatuishi kwa utabiri siku hizi.
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
31,920
Likes
65,725
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
31,920 65,725 280
Iko siku Zitto ataibuka shujaa kuhusiana na hili jambo
 
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,986
Likes
4,041
Points
280
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,986 4,041 280
Hivi kwa ilivyo mbaya huku mtaani kazi hakuna biashara ngumu wao wanaona hali ni nzuri tu kweli mwenye shibe hawezi kujua mwenye njaa
Fanya kazi kwa bidii stop lamenting
 

Forum statistics

Threads 1,239,140
Members 476,434
Posts 29,343,858