Undertaker upo sawa kweli? Unaweza chora relation hapoView attachment 621768 Alafu zitto anakamatwa eti katoa data za uwongo hii nchi inaelekea Zimbabwe
Undertaker upo sawa kweli? Unaweza chora relation hapo
Unajua kabisa kuna watu hewa walikua na mikopo na sahv hawana afu unashangaa pale bank znaposema mikopo halipki na unamajbu kuwa walikopesha watu hewa...
Huenda uchumi ukawa umedorola ila hicho c kipmo cha uchumi wa nchi aliyeshindwa kulpa mkopo ni mkopaj c nchi sasa hali ya watu kushindwa kulipa mikopo c uchumi wa nchi na wananchi
Hata biashara ni kwel zmeyumba mfano maduka yaliyobomolewa morogoro road nk ila hyo c hali ya uchumi wa nchi ni wananchi ingawa kuna uhusiano hapo.Mikopo hewa kwa watumishi 10,000? Nchi hii walio katika biashara ni wangapi kati ya watanzania walio kazini zaidi ya mil 40? Hiyo idadi haizidi bil 40 ya mikopo mibaya. Je hizo biashara huzioni zilizofungwa
Niwe mkweli tu , kwa sasa sijivunii tena kuitwa Mtanzania .View attachment 621768 Alafu zitto anakamatwa eti katoa data za uwongo hii nchi inaelekea Zimbabwe
Hii nchi sasa hivi imekuwa ya kishamba sana !Iko siku Zitto ataibuka shujaa kuhusiana na hili jambo
Wewe jamaa umesomea uchumi kweli? Ukisikia NPL loan usidhani wakopaji ni hao wafanyakazi hewa. Hao ni punje ya haradani tu katika tasnia ya mikopo. Kwanza jiulize, wakopaji watumishi huwa wanaweka nyumba kama collateral?Undertaker upo sawa kweli? Unaweza chora relation hapo
Unajua kabisa kuna watu hewa walikua na mikopo na sahv hawana afu unashangaa pale bank znaposema mikopo halipki na unamajbu kuwa walikopesha watu hewa...
Huenda uchumi ukawa umedorola ila hicho c kipmo cha uchumi wa nchi aliyeshindwa kulpa mkopo ni mkopaj c nchi sasa hali ya watu kushindwa kulipa mikopo c uchumi wa nchi na wananchi
Cjausoma ila naelewa kdogo.Wewe jamaa umesomea uchumi kweli? Ukisikia NPL loan usidhani wakopaji ni hao wafanyakazi hewa. Hao ni punje ya haradani tu katika tasnia ya mikopo. Kwanza jiulize, wakopaji watumishi huwa wanaweka nyumba kama collateral?
Kimsingi hapo inazungumziwa mikopo mikubwa iliyokuwa directed kwenye uzalishaji na sasa uzalishaji umeyumba kwakiwa walaji hawapo. Sio mikopo ya vitz (ingawa pia ni sehemu). Benki inachoweza kufanya ni kupiga mnada hizo collateral, lakini je wanunuaji wako wapi?
Economic crisis nyingi huanzia huko kwenye financial crisis hususan lending facilities.
Wewe jamaa umesomea uchumi kweli? Ukisikia NPL loan usidhani wakopaji ni hao wafanyakazi hewa. Hao ni punje ya haradani tu katika tasnia ya mikopo. Kwanza jiulize, wakopaji watumishi huwa wanaweka nyumba kama collateral?
Kimsingi hapo inazungumziwa mikopo mikubwa iliyokuwa directed kwenye uzalishaji na sasa uzalishaji umeyumba kwakiwa walaji hawapo. Sio mikopo ya vitz (ingawa pia ni sehemu). Benki inachoweza kufanya ni kupiga mnada hizo collateral, lakini je wanunuaji wako wapi?
Economic crisis nyingi huanzia huko kwenye financial crisis hususan lending facilities.
....The truth will always remain the truth, upake poda, mafuta, uziite takwimu za uwongo but the truth is the truth.Kusema uchumi umeshuka kwa mtazamo wa hali inavyokwenda/unavyoona si tatizo bali kubuni namba/ takwimu za uwongo ndio tatizo.
The truth to you might be lies to me and vice versa.....The truth will always remain the truth, upake poda, mafuta, uziite takwimu za uwongo but the truth is the truth.