PostGE2025 Uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa jiji

PostGE2025 Uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa jiji

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
2,684
Reaction score
4,383
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na Wenyeviti wa Halmashauri za Miji na Wilaya.

Kikao hicho kimefanyika Zanzibar, na hii leo Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM anatarajia kuzungumza na waandishi wa Habari kutangaza majina ya walioteuliwa kugombea katika nafasi za Umeya.

Source
1764487333258.jpg
 
CCM ndo mnaweka kiturubai cha kijani kama cha mganga wa kirnyeji. Naona kaenda nyumbani nilifikiri bado mafichoni hqpo kati. Kakimbilia kizmkazi hili tarahe 9 dec kikinuka awe yupo zenji na anaweza kimbilia ujombani.
 
Hiyo ni kama kambi mojawapo ya jeshi mikoa ya k
 
Wauaji wanaendelea kupeana madaraka hewa. Wananchi wote na jumuiya ya kimataifa wanajua wazi kuwa Tanzania hakukuwa na uchaguzi, bali mashetani yaliamua kuwaua wananchi ili wapate nafasi ya kugawana madaraka.

Hawa ni mashetani, ni wauaji wa watanganyika, yeyote anayechukua nafasi yoyote ya uongozi kupitia ule uharamia wa oct 29, ni adui wa Taifa, wananchi wana haki ya kumfurusha na kumwadhibu.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na Wenyeviti wa Halmashauri za Miji na Wilaya.

Kikao hicho kimefanyika Zanzibar, na hii leo Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM anatarajia kuzungumza na waandishi wa Habari kutangaza majina ya walioteuliwa kugombea katika nafasi za Umeya.

Source
View attachment 3509487
Nimesikia jina.la Said Jumanne Muliro. Kumbe ndio maana huyu Mzee anatekeleza ukatili dhidi ya wananchi Ili mwanaye naye aingie kwenye mfumo
 
Kazi yao kulipana kwa kodi zetu tu, ndio maana hawataki kutoka
 
Back
Top Bottom