Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,227
- 94,693
Tatizo ni Watanzania, huwa hawahitaji sana hoja zenye akili...
Wewe fikiria tu mtu kama Msukuma, Kibajaj na wengine wengi wenye kaliba ya hao ni wabunge, wanatunga sheria, wapo kamati za bunge, na ndio washauri wa serikali...
Wewe fikiria tu mtu kama Msukuma, Kibajaj na wengine wengi wenye kaliba ya hao ni wabunge, wanatunga sheria, wapo kamati za bunge, na ndio washauri wa serikali...
Paul Makonda ni Mwepesi sana kwenye Siasa za ushindani wa wazi na hana ushawishi wa hoja, ni Mweupe sana, kipindi cha Raisi Magufuli alitokea kuwa Mtu mwenye Nguvu sababu ya Nguvu ya Dola aliyokuwa nayo, kama Mkuu wa Mkoa na Kama Right hand ya Rais John Magufuli dhidi ya wapinzani wake.
Kuna Mambo mengi ya hovyo yalizungumzwa kumhusu Paul Makonda na uhusika wake wa kudhulumu haki za kuishi za watu, 3 1 Januari 2020, akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.
Kwa Mambo mengi ya hovyo aliyoyafanya Makonda, uteuzi wake bado unabaki kuwa ni kosa la Kiufundi kwa CCM, CHADEMA wana Nafasi kubwa ya kulitumia kosa hili kurahishisha ajenda zao za Ki Siasa