Uteuzi wa M/Kiti wa Bodi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania

Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar.

Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar.

Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCCA) ni bodi ambayo ni huru kwa shughuli zake.

Mamlaka ya Anga Tanzania iko chini ya Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi( nitaomba kusahihishwa kama nitakosea)

Swali langu la Msingi ni kwamba, Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi ni Wizara mojawapo ambayo iko chini ya Wizara ambazo ziko kwenye Muungano?

Kama haiko chini ya wizara zilizoko chini ya Wizara za Muungano, Ni Sahihi kwa uteuzi alioufanya Rais Samia kumteua Bi. Mtumwa Kutoka Zanzibar kuwa Mkiti wa Bodi ya Taasisi ambayo sio Sehemu ya Muungano?

Naomba kueleweshwa Wakuu
Tuache ujinga samua ni rais wa jamhuri ya muungano,anayo mamlaka ya kumteua mtanzanua yoyote amtakaye

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar.

Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar.

Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCCA) ni bodi ambayo ni huru kwa shughuli zake.

Mamlaka ya Anga Tanzania iko chini ya Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi( nitaomba kusahihishwa kama nitakosea)

Swali langu la Msingi ni kwamba, Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi ni Wizara mojawapo ambayo iko chini ya Wizara ambazo ziko kwenye Muungano?

Kama haiko chini ya wizara zilizoko chini ya Wizara za Muungano, Ni Sahihi kwa uteuzi alioufanya Rais Samia kumteua Bi. Mtumwa Kutoka Zanzibar kuwa Mkiti wa Bodi ya Taasisi ambayo sio Sehemu ya Muungano?

Naomba kueleweshwa Wakuu
Mambo ya Usafiri wa Anga na Usafirishaji wa Anga ni mambo ya Muungano yapo kwenye orodha ya mambo 22 ya Muungano kwa mujibu wa Ibara ya 4 (3) ya Katiba ikisomeka kwa pamoja na Aya ya 11 na 17 ya Nyongeza ya Kwanza (First Schedule).
 
Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar.

Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar.

Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCCA) ni bodi ambayo ni huru kwa shughuli zake.

Mamlaka ya Anga Tanzania iko chini ya Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi( nitaomba kusahihishwa kama nitakosea)

Swali langu la Msingi ni kwamba, Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi ni Wizara mojawapo ambayo iko chini ya Wizara ambazo ziko kwenye Muungano?

Kama haiko chini ya wizara zilizoko chini ya Wizara za Muungano, Ni Sahihi kwa uteuzi alioufanya Rais Samia kumteua Bi. Mtumwa Kutoka Zanzibar kuwa Mkiti wa Bodi ya Taasisi ambayo sio Sehemu ya Muungano?

Naomba kueleweshwa Wakuu
Mama ameanza kuelemea Kizimkazi eeeehh?!
 
Labda anga za kichawi!
 
Miaka minne ya Wazanzibar kutusua maana Miss Utalii anahakikisha anawanyanyua kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom