kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,585
- 14,045
Baada ya yule Prof. kuwa katibu mkuu, na sasa Anna Mgwira, bila shaka itafuata zamu ya Zitto Kabwe. Hivyo Mh. Zitto Kabwe anaungana rasmi na waheshimiwa Lyatonga, Ahamadi Rashid, Lipumba, Lamwai, Zuberi Mtemvu, Shamte, nk katika siasa za Tanzania ambazo watoto wetu huko mbele watakuja kujisomea kwenye historia ya demokrasia Tanzania.