UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

Hakuwa na kigezo chochote kuteua watu.
Jinsi atakavyoamka tu siku huyo anamteua mtu atakayehakikisha anakuwa loyal kwake.
Elimu ya Ngusa mpaka sasa bado haifahamiki.

Ila Jiwe nae sijui alitumia vigezo gani katika kuteua wasaidizi wake. Mistery!
 
Hivyo viwe vilikuwepo karibia vyote na amevirithi kutoka kwa jiwe na watangulizi wake. Acha nongwa.
 
Hii imekaa poa
 
Tuwe na shukrani, msipo pewa taarifa maneno, mkipewa taarifa maneno ifike mahala tuache gubu so far lzm ujue Rais ni public figure,
Maisha yake ya kazi au binafsi yanagusa maslahi ya public.
 
Ujaona wewe nani? Huu utaratibu upo dunia nzima yaaani rais kumchangua state house comtroller wewe roho inakuuma una cha maana zaidi ya chuki zako binafsi na usipngalia kipindi cha huyu Mama utaumia kweli kweli.
 
Kumpata Rais wa jinsia ile bila box la kura hadi 2025 tutaona mengi
 
Mbona Jiwe alijaza kina ngosha? Hamkuwa mkiona? Tena na yeye apeleke miradi yote maendeleo kwao Kiembesamaki kama ilivyokuwa kwa Chato city! Kutesa kwa zamu...!
Hakika, mama ikimpendeza kuanzia wakuuu wa wilaya/mikoa, majeshi yotee aweke wazanzibar tuuu.

Maana tuliuendekeza ujinga sisi wenyewe.
 
Ni kweli aliaanza kupikiwa na Mjane?
 
Huo ni utawala bora, lazima tuwajue tunaowalipa mishahara kwa kumsaidia rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…