UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

Kila zama na kitabu chake. Hongera kwa Mh. Rais Samia kwa uteuzi. Wateuliwa wote watambue kuwa wameteuliwa kufanya kazi, hivyo wachape kazi kumsaidia Rais atekeleze majukumu yake kuwatumikia wananchi.
 
Wewe dini inakusaidia nini ..serikalini kuna dini..pumbav..hatuangalii udini wako wala ukabila wako, tunaangalia utendaji kazi
Kama hauna dini ni wewe....ila naona Rais yupo busy kujaza watu wa dini yake ila all in all hakuna jipya ni business as usual.
 
Nitajie alikuwa mshauri wa Diplomasia wa Rais Magufuli?
ken.ge wewe, nikutajie we kama nani?? Unajua hujui kama rais huwa anawashauri wa nyanja zote, wa kiusalama,kiuchumi,kidiplomasia, etc, mungu wenu magufuli ameharibu akili zenu nyie misukule wake, na bado hamuamini kama now Rais ni Samia,,,endeleen kuabudu mzoga
 
Thread 'Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais' Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais
Sawa mkuu ndo maana Iyo nafasi nikasema labda aliteua moja tu japo sikua na huakika, na nilidhani nayo labda marehem Kijazi alikua anatembea nayo,but KWA hichi ulicho quote nami Sina jibu badala ya kukuhunga mkono, na je vipi nafasi zingine sio kwamba mwenda zake ndo alikua anatimiza nunua majogoo ya kumposa bi mkubwa?
 
Rais ametoa salaam hasa za Jamhuri ya Muungano kwa kuteua wasaidizi toka Zanzibar na Tanganyika.

Kero za Muungano zinazidi kupunguzwa na Muungano kuimarishwa kwa kutosahau wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano lazima waonekane kutoka pande zote mbili.
Kero za Muungano hupunguzwa kwa kuteua?. Ki msingi hakuna kero za Muungano zaidi ya watu kushindwa kuamua kama tunakuwa kitu kimoja au kila mmoja kivyake maana hatuwezi kuungana nchi mbili halafu tuwe nchi mbili badala ya moja. Hao wametafutiwa ulaji tu, hamna lolote.
 
Acheni wivu jamani.

Mimate yote hyo ya nini?

Ungeteuliwa wewe ungeandika ulichoandika!?

Chuki ni umaskini wa juu sana.
 
ken.ge wewe, nikutajie we kama nani?? Unajua hujui kama rais huwa anawashauri wa nyanja zote, wa kiusalama,kiuchumi,kidiplomasia, etc, mungu wenu magufuli ameharibu akili zenu nyie misukule wake, na bado hamuamini kama now Rais ni Samia,,,endeleen kuabudu mzoga
Povu lanini bwa shekhe?
 
Back
Top Bottom