Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,036
- 3,929
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt Magufuli ameteua Meja Jenerali Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
Futa kauli, Meja mtu mdogo sana hawezi kuwa na hyo appointment
Umeisoma hiyo statement ya Ikulu? Amepandishwa kwanza cheo kuwa Luteni Jenerali ndo kampa unadhimuFuta kauli, Meja mtu mdogo sana hawezi kuwa na hyo appointment
Mwandishi hapo juu kakosea badala ya kuandika meja general yeye kaandika meja peke yake nadhani bila kujua pia kuna cheo cha meja msahihishaji anashangaa meja kufika kuwa luteni general anamtaka abadili hiyo meja basi iwe meja general.Umeisoma hiyo statement ya Ikulu? Amepandishwa kwanza cheo kuwa Luteni Jenerali ndo kampa unadhimu
Nime mtaja mkuu Major Gen BusunguUmesahau Busungu mkuu