UTEUZI: Rais Magufuli amteua Meja Jenerali Yakubu Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu JWTZ. Awapandisha cheo Brigedia Jenerali 10

Wachaga na Jeshi ni kama kumfananisha Bata na Mbwa, Makabila mengine there are very weak hawana nguvu za asili, Ukiangalia historia kuna makabila ya kimapambano angalia vizuri utaona watu wa Iringa au Songea, Hivi Wale wanaokula urojo na mambo ya Jeshi wapi na wapi
Mchaga ana nguvu ya biashara na elimu!! Nyie wenye nguvu za kupiga mawe vichwa nenden jeshini!!
 
acha ushamba wewe hostoria haijawahi kudanganya, wachaga ni miongoni mwa watu wenye historia iliyotukuka katika majeshi yetu mifano michache tu; General Tumainieli Kiwelu, Imran Kombe, Muhidini Kimariyo,
Nashukuru mkuu umesaidia kumjibu limbukeni na washamba wanaotumia propaganda ya zama za giza...
 
Kama hujui ni bora ukauliza kuliko kupinga wakati hujui kitu. Kuna rank mbili tofauti kuna major na major General upo apo mkuu.
kweli mkuu, major ana ngao ya bibi na bw na hakuna kingine ni baada ya captain.
 
Wachaga na Jeshi ni kama kumfananisha Bata na Mbwa, Makabila mengine there are very weak hawana nguvu za asili, Ukiangalia historia kuna makabila ya kimapambano angalia vizuri utaona watu wa Iringa au Songea, Hivi Wale wanaokula urojo na mambo ya Jeshi wapi na wapi
Siku hizi jeshini akili ndo zinatakiwa nyingi kuliko nguvu. We unadhani kwann mmarekani baba wa vita anajiuliza Mara tatu tatu kumvaa mkorea? Ila Sasa wenye akili Mara nyingi si watii. Ukitoa amri anaanza kupima Pima logic badala ya kutii alichoamrishwa. Ndo maana watu wa KLM hata ajira tu zinawashinda sembuse jeshi. biashara zinawafaa sana hawa watu. (naomba nisilishwe maneno, sijasema waliopo jeshini hawana akili)
 
Kwa hiyo hawa waliotajwa, watapata grisi bure?

Napenda kuwapa hongera kwa kupanda vyeo, nawatakia kazi njema katika vituo watakavyopangiwa
 
ngoja nisome

Hakuna kosa lolote pale, Rais anakuteau halafu anakupandisha cheo haraka kutoka Meja Jenerali kuwa Luteni Jenerali habari ya uteuzi ni nyingine lakini kwa kasi ya 4G anampandisha cheo itasomeka Ngao,nyota tatu na mkasi yaani Luteni Jenerali,asingeweza kumvilisha cheo kipya kabla ya teuzi mkuu.
 
Hapana siyo mzanzibari.Ni mrangi.Vilevile ni mhandisi.Zamani akiitwa Yakubu Mohamed Kijuu.Kabla ya uteuzi ni mkuu wa chuo kikuu cha jeshi pale Kunduchi.
 
Back
Top Bottom