UTEUZI: Rais Magufuli amteua Meja Jenerali Yakubu Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu JWTZ. Awapandisha cheo Brigedia Jenerali 10


Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
1,977
Likes
3,220
Points
280
Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
1,977 3,220 280
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt Magufuli ameteua Meja Jenerali Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)

utezi-jpg.695476
 
TUTUO

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,490
Likes
1,328
Points
280
TUTUO

TUTUO

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,490 1,328 280
Futa kauli, Meja mtu mdogo sana hawezi kuwa na hyo appointment
 
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,127
Likes
4,232
Points
280
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,127 4,232 280
Wachaga na Jeshi ni kama kumfananisha Bata na Mbwa, Makabila mengine there are very weak hawana nguvu za asili, Ukiangalia historia kuna makabila ya kimapambano angalia vizuri utaona watu wa Iringa au Songea, Hivi Wale wanaokula urojo na mambo ya Jeshi wapi na wapi
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
14,940
Likes
5,954
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
14,940 5,954 280
Hongera Sana Kwa Wote
Mungu Ni Mwema Sana
 
Daniel kulwa Nyawayi

Daniel kulwa Nyawayi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Messages
277
Likes
187
Points
60
Age
26
Daniel kulwa Nyawayi

Daniel kulwa Nyawayi

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2017
277 187 60
Umeisoma hiyo statement ya Ikulu? Amepandishwa kwanza cheo kuwa Luteni Jenerali ndo kampa unadhimu
Mwandishi hapo juu kakosea badala ya kuandika meja general yeye kaandika meja peke yake nadhani bila kujua pia kuna cheo cha meja msahihishaji anashangaa meja kufika kuwa luteni general anamtaka abadili hiyo meja basi iwe meja general.
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,805
Likes
15,167
Points
280
Age
34
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,805 15,167 280
Huyu mbona kama Mzanzibari vile? Au ndo tunaimarisha muungano? Hongera zake Luten Jenerali Yakubu.
 
maghambo619

maghambo619

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Messages
798
Likes
251
Points
80
maghambo619

maghambo619

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2012
798 251 80
Hongera sana wakuu wa jeshi letu,
Hongera sana mh raisi!
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,151
Likes
1,713
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,151 1,713 280
Mbona hajampandisha Brigedia jenerali Jairos Mwaseba?
 
J

Jua usiyoyajua

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
913
Likes
432
Points
80
J

Jua usiyoyajua

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
913 432 80
Wishing all long and successful life on their new responsibilities. Hope God will show them the right path.
 
kipwate

kipwate

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
531
Likes
482
Points
80
kipwate

kipwate

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
531 482 80
Uteuzu wa nguvu sana ...Major Gen Kingu ata fika mbali sana kama na muona kwa mbali aki kaimu nasaf ya Lt Gen Mohamed (mteule) pale NDC,big up zanguvu kwa Major Gen Busungu & Lt Gen Mohamed ...na wateule wengine
 

Forum statistics

Threads 1,252,017
Members 481,948
Posts 29,793,186