Clement Mshana ni mtu makini sana. Hajui na hana siasa za maji taka. ataipeleka TBC na Nchi mbali sana. Mungu amjalie afya njema. nawapongeza wengine ingawa sina UHAKIKA sana na utendaji wao ila naamini sio "mashemeji".
Inasikitisha kusikia na kusoma humu kwenye JF mtu anamwagia sifa Clement Mshana. Watanzania tumajua Mshana wakati yuko TBC kabla ya kwenda maelezo. Tunajua ni vipi ambavyo ni impartial, tunajua si mbunifu wa mambo, tunajua kwamba anamapungufu kama mwanahabari juu ya mwenendo wa dunia. Huyu sio kiongozi tuliyepashwa kupewa katika kizazi hiki ambacho ni information ungly and wako aware! Kwa wale tuliokuwa tunafatilia kipindi chake cha twambie nafikiri tunaweza kutoa opinion zetu zaid! The most important thing tunapoenda kwenye kubadilisha masafa kutoka analogy kwenda digital na muda aliopoteza katika public sekta ni dhairi hana uzoefu wowote!