Ronzobe B29
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 242
- 89
Asante kakaMkuu chakwanza uwe Na mafuta ya mise sio mawese baada ya hapo blue hii yanguo +sodium bicarbonate nahisi kama sio calcium bicarbonate kati ya hizi chemical mbili unachemsha mafuta yako maana hua yanaganda then unayamwagia kwenye jaba yakianza kupoa unaongeza Kwa juu hio calcium carbonate kama si sodium bicarbonate mpaka ianze kuwa ya uji uji then unaimwagia sehem yako yakutengenezea mpaka itakapo kua solidified
Vipi dawa ya chooni.
Vifaa vinapatikana wapi kirahisi kwa DSM
Mkuu mi nadhani hujamuelewa kamaanisha vifaa ambavyo ni sumu ni zile materials ambazo hutumika kutengeneza sabubni ila ikiwa tayari kwenda kwa mtumiaji sio sumu tena.Ndio maana huwa nanunua sabuni za waturuki au viwanda vikubwa vya hapa Tz. Wajasiliamali wa Tz wanaangalia hela tu kuliko afya ya mtumiaji.
Kivipi?Ndio maana huwa nanunua sabuni za waturuki au viwanda vikubwa vya hapa Tz. Wajasiliamali wa Tz wanaangalia hela tu kuliko afya ya mtumiaji
Nenda Sido iliyo karibu nawe utapata details zote za machine na malighafi pamoja na procedure za TBS na wengineo.Mkuu Pelham,hata mimi nilikua na wazo juu ya kiwanda hiki,unaweza ni PM nikupe clue nilipofikia juu ya utafit wangu,,tunaweza chochote.