Utendaji wa wataalamu wetu wa afya hauridhishi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,433
Watendaji wengi hawafuati miiko ya kitaaluma. Kuanzia lugha wanayotumia hata attitude.

Kati ya mgonjwa na mgonjwa daktari anatembelewa na rafiki yake wanaanza kusogoa wakati nje wagonjwa wako kwenye foleni wengine wametoka nyumbani saa 11 alfajiri bila kifungua kinywa.

Tulikwenda hospitali na ndugu yangu, wakati wa kupima BP nesi alipokea simu iliyokuwa mfukoni mwake. Aliongea kwanza baada ya maongezi pasipo kutuomba radhi alirekodi vipimo. Nilimuomba arudie zoezi ili tupate uhakika aliniambia nisumfundishe kazi.

Hizo lugha chafu wanazopewa wamama wajawazito wala hazisemeki. Udhalilishaji umekuwa sehemu ya kazi.

Bodi za kitaaluma angalieni jinsi mtakavyo boresha nidhamu ya utendaji kazi. Huduma za afya ni moja ya mahitaji makuu ya wananchi.
 
Nchi za Africa zina shida sana haki inaambatana na wajibu sasa watumishi wananjaa halafu mnasema wahudumie vizuri !kwenye redio,magazeti anasikia kabisa dipipiii aiba maburungutu ya fedha,bilioni 1.5 zimetumika kununua kanga na vitenge hivi huo wito mtumishi anatoa wapi?Juzi hapa huko kaskazini mkuu wa kituo cha afya amepigishwa magoti na ajieleze mbele ya wananchi matumizi ya fedha hivi huyu mama wito anautoa wapi?Asubuhi njema
 
...Tanzania bado sana!...kuna mwaka fulani nyuma kidogo Mama Mkwe alitaka wife akajifungulie kwao kwenye Wilaya fulani mashuhuri nchini...baada ya Wife kujifungua salama (nilivyodhani!) akanipa story kuwa eti siku ya kujifungua nesi alikuwa na fimbo kabisa ameziweka chini ya kitanda na akamuambia wife na wengine aliwaona wife kuwa wakimsumbua na kuchelewa chelewa aliyokuwa anawaagiza wakati wa kujifungua atamcharaza viboko hivyo...na wife alishuhudia kweli wenzake wawili wakicharazwa viboko na Mkunga huyo ati kwa sababu tu walikuwa 'hawasukumi' sawasawa kama mkunga alivyokuwa anawahimiza!!...jibu langu kwa wife likawa moja tu....Saa hizi ningekuwa Jela!!![emoji34][emoji34]
 
Inauma sana....hao ndo wanaofaulu kiujanja ujanja vyuoni mkuu huwezi mkuta proffessiona Doctor hata sikumoja anakjtolea kauli mbaya au Nurse Proffessiona ila hawa wenye Level ya chini wanakuwa na Maadili Mabovu sana

Naumia kusimia hayo kwakuwa mimi ni mmoja wa wataalamu wa sector hiyo
 
Madame wewe ungemwambia lete nikufundishe kurecond ..
Wewe mwenyewe mtaalam unaachaje mtu anakosea halafu unamnyamazia!.
 
...Tanzania bado sana!...kuna mwaka fulani nyuma kidogo Mama Mkwe alitaka wife akajifungulie kwao kwenye Wilaya fulani mashuhuri nchini...baada ya Wife kujifungua salama (nilivyodhani!) akanipa story kuwa eti siku ya kujifungua nesi alikuwa na fimbo kabisa ameziweka chini ya kitanda na akamuambia wife na wengine aliwaona wife kuwa wakimsumbua na kuchelewa chelewa aliyokuwa anawaagiza wakati wa kujifungua atamcharaza viboko hivyo...na wife alishuhudia kweli wenzake wawili wakicharazwa viboko na Mkunga huyo ati kwa sababu tu walikuwa 'hawasukumi' sawasawa kama mkunga alivyokuwa anawahimiza!!...jibu langu kwa wife likawa moja tu....Saa hizi ningekuwa Jela!!![emoji34][emoji34]
Viboko tu? mimi nilipigwa vibao vya kwenye mapaja mpaka nikawa mwekundu. Sasa mtu nguvu za kusukuma huna na unajitahidi kadri ya uwezo wako wapi alafu bado unaongezewa na kipigo. Yaani nilitamani nimshtaki huyo Dokta ila nikaona isiwe shida Hospital za Serikali hawataniona tena! Labda nipelekwe nikiwa nimezidiwa. Wakati mama yangu ananihudumia alishangaa kuniona nimevimba mapaja na alama za vidole vya vibao kibao, nikamwambia walikuwa wananipiga. Alisikitika sana japo mume wangu hakujua mpaka sasa.
 
...Tanzania bado sana!...kuna mwaka fulani nyuma kidogo Mama Mkwe alitaka wife akajifungulie kwao kwenye Wilaya fulani mashuhuri nchini...baada ya Wife kujifungua salama (nilivyodhani!) akanipa story kuwa eti siku ya kujifungua nesi alikuwa na fimbo kabisa ameziweka chini ya kitanda na akamuambia wife na wengine aliwaona wife kuwa wakimsumbua na kuchelewa chelewa aliyokuwa anawaagiza wakati wa kujifungua atamcharaza viboko hivyo...na wife alishuhudia kweli wenzake wawili wakicharazwa viboko na Mkunga huyo ati kwa sababu tu walikuwa 'hawasukumi' sawasawa kama mkunga alivyokuwa anawahimiza!!...jibu langu kwa wife likawa moja tu....Saa hizi ningekuwa Jela!!![emoji34][emoji34]
Labda kweli alimaanisha lakini labour ward ni pagum sana, mama anakuwa hayuko katika akili ya kawaida kutokana na maumivu makali wakati huo mkunga nae akizembea hakupatikani mtoto.. Mi nafikir ni katika kumhamasisha tu Mama.
 
Madame wewe ungemwambia lete nikufundishe kurecond ..
Wewe mwenyewe mtaalam unaachaje mtu anakosea halafu unamnyamazia!.
Inabidi
Labda kweli alimaanisha lakini labour ward ni pagum sana, mama anakuwa hayuko katika akili ya kawaida kutokana na maumivu makali wakati huo mkunga nae akizembea hakupatikani mtoto.. Mi nafikir ni katika kumhamasisha tu Mama.

Huu ni unyanyasaji si uhamasishaji, huwezi kumpiga mtu fimbo na makofi eti unamhamasisha. Unaweza kumhamasisha kwa kumueleza ukweli kuwa jitahidi kusukuma unakaribia sukuma kwa nguvu.

Upendo ndiyo kanuni kuu katika mafunzo ya uuguzi.
 
Watendaji wengi hawafuati miiko ya kitaaluma. Kuanzia lugha wanayotumia hata attitude.

Kati ya mgonjwa na mgonjwa daktari anatembelewa na rafiki yake wanaanza kusogoa wakati nje wagonjwa wako kwenye foleni wengine wametoka nyumbani saa 11 alfajiri bila kifungua kinywa.

Tulikwenda hospitali na ndugu yangu, wakati wa kupima BP nesi alipokea simu iliyokuwa mfukoni mwake. Aliongea kwanza baada ya maongezi pasipo kutuomba radhi alirekodi vipimo. Nilimuomba arudie zoezi ili tupate uhakika aliniambia nisumfundishe kazi.

Hizo lugha chafu wanazopewa wamama wajawazito wala hazisemeki. Udhalilishaji umekuwa sehemu ya kazi.

Bodi za kitaaluma angalieni jinsi mtakavyo boresha nidhamu ya utendaji kazi. Huduma za afya ni moja ya mahitaji makuu ya wananchi. Wakipata huduma mbovu fikra za kuiondoa CCM madarakani labda hali itakuwa nzuri ndizo zinakuja kwanza.

Kwani utendaji wa kada gani unaridisha ndugu yangu....majanga kila kona hadi mochwari usipotoa rushwa utaoneshwa maiti zingine hata 10 akili ikuruke.

Ukitaka huduma nzuri basi nenda private sector huko kuna afadhali...huku uzalendoni, penyeza rupia kupata huduma nzuri na kwa haraka.

Kuna lingine?
 
Sasa wewe unaona ni kheri tunyamaze kwakua utendaji mbovu wa kazi uko katika kada zote Tanzania?
 
Watendaji wengi hawafuati miiko ya kitaaluma. Kuanzia lugha wanayotumia hata attitude.

Kati ya mgonjwa na mgonjwa daktari anatembelewa na rafiki yake wanaanza kusogoa wakati nje wagonjwa wako kwenye foleni wengine wametoka nyumbani saa 11 alfajiri bila kifungua kinywa.

Tulikwenda hospitali na ndugu yangu, wakati wa kupima BP nesi alipokea simu iliyokuwa mfukoni mwake. Aliongea kwanza baada ya maongezi pasipo kutuomba radhi alirekodi vipimo. Nilimuomba arudie zoezi ili tupate uhakika aliniambia nisumfundishe kazi.

Hizo lugha chafu wanazopewa wamama wajawazito wala hazisemeki. Udhalilishaji umekuwa sehemu ya kazi.

Bodi za kitaaluma angalieni jinsi mtakavyo boresha nidhamu ya utendaji kazi. Huduma za afya ni moja ya mahitaji makuu ya wananchi. Wakipata huduma mbovu fikra za kuiondoa CCM madarakani labda hali itakuwa nzuri ndizo zinakuja kwanza.
Umeanza vizuri ila ulivyomalizia ndipo ulipoharibu.
 
...Tanzania bado sana!...kuna mwaka fulani nyuma kidogo Mama Mkwe alitaka wife akajifungulie kwao kwenye Wilaya fulani mashuhuri nchini...baada ya Wife kujifungua salama (nilivyodhani!) akanipa story kuwa eti siku ya kujifungua nesi alikuwa na fimbo kabisa ameziweka chini ya kitanda na akamuambia wife na wengine aliwaona wife kuwa wakimsumbua na kuchelewa chelewa aliyokuwa anawaagiza wakati wa kujifungua atamcharaza viboko hivyo...na wife alishuhudia kweli wenzake wawili wakicharazwa viboko na Mkunga huyo ati kwa sababu tu walikuwa 'hawasukumi' sawasawa kama mkunga alivyokuwa anawahimiza!!...jibu langu kwa wife likawa moja tu....Saa hizi ningekuwa Jela!!![emoji34][emoji34]
Sasa mkeo akizembea alafu asisukume mtoto akafa mnaanza tena kulaumu ma nurse....huko wanapojifungulia wajawazito ni sehemu ngumu sana kufanya kazi...humsukumi mtoto unategemea uchekewe,mtoto akifariki katika mazingira hayo lawama kwa madaktari
 
Hakuna kazi rahisi hawatakiwi kupiga watu Bali kuongea nao tena kwa upendo. Wakunga wanaojua kazi yao wakitoka kazini hawataki kuongea kwani wametoka kuongea shift nzima
 
Mishahara n midogo na kazi n kubwa,sio mchana,sio usiku n kazini tu....n nan asiyechoka? Watumishi wakidai waongezewe mishahara serikali inasema hyo n kazi ya wito na sio ya kulipwa huku mbunge aliyesoma mpk darasa LA saba akila karbu 10m per month plus marupurupu...ila doctor mwenye degree ana pesa kidogo tu....

Half et mnategemea wawe na moyo wa kuwahudumia......

Kila MTU apambane na hali yake tu....ukizinguliwa government nenda private tu.
 
Ni kheri was he kazi na wawekezaji wazi sababu kuliko kwenda kazini kutesa raia wasio na hatia.
Bodi zao za taaluma zisaidie kupeleka malalamiko bungeni au mawasiliano na waziri wa afya
 
Customer services kwa nchi hizi ni janga kubwa tu, hivi hata private sector bado kuna tatizo hilo hilo, huko kwenye umma si ndio shida zaidi.
 
Sasa wewe unaona ni kheri tunyamaze kwakua utendaji mbovu wa kazi uko katika kada zote Tanzania?

Nachomaanisha sekta zote zina hali mbaya...tuna wajibu wa kusema ila zoezi la mabadiliko ni refu sana.

Tutafika ila we also have to manage our expectations. Comprende?
 
Back
Top Bottom