Utazichukua au utaziacha?

mshana jr pale kwenye heading ya thread ni typing erro au uliamisha hivyo hivyo kama ulivyoandikwa "utazichua"
 
Last edited by a moderator:
Potelea mbali uchawi hauendi kwa mentali...
Nazichukua nafanya yangu..mambo mengine baadaye...
 
yai naliangalia juani kama sio viza nachemsha kisha napika Chai Na tangawizi,pesa nafungua a/c ya euro saaafi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…