Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,030
- 134,274
Hivi kweli hawawezi kutekwa kwa kuangalia kesi ya TAL?habari, mnaruhusiwa kucheka
kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)?
hii haikubaliki 😂
Watanzania tunatakiwa kuliangalia bunge letu namba za views zipande pale mjini YouTube.
haiwezekani kesi ya Lissu izidi Bunge la jamhuri kwa views.
nawasilisha, asante. 🫵🏼 🤣