Utazamaji kesi ya Lissu vs Bunge.

Utazamaji kesi ya Lissu vs Bunge.

DexterLab

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2024
Posts
286
Reaction score
299
habari, mnaruhusiwa kucheka

kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)?

hii haikubaliki 😂

Watanzania tunatakiwa kuliangalia bunge letu namba za views zipande pale mjini YouTube.

haiwezekani kesi ya Lissu izidi Bunge la jamhuri kwa views.

nawasilisha, asante. 🫵🏼 🤣
 
Watanzania wana uhuru wa kuchagua
 
Tupe idadi ya Viwers wa Bunge vi's Lisu ili tupime!
 
Screenshot 2025-06-02 at 1.04.06 PM.png
 
Back
Top Bottom