Nionavyo mimi, Rais JPM ndiye atakayeleta maendeleo makubwa nchini. Lakini anatakiwa kukaza uzi mpaka dakika ya mwisho.
Ukichunguza nchi zote zilizoendelea viongozi wake kwanza walianza kwa kuchukua hatua za maksudi na wakazimamia kikamilifu. Ukiacha hilo, wenzetu huko duniani wanafanya kazi kwa bidii sana ukilinganisha na sisi watanzania.
Chini ya jua, nchi au mtu yeyote hawezi kupiga hatua za maendeleo bila kujinyima kwanza kwa muda na kuchapa kazi.