Utawala wetu.

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
1,485
2,000
Nionavyo mimi, Rais JPM ndiye atakayeleta maendeleo makubwa nchini. Lakini anatakiwa kukaza uzi mpaka dakika ya mwisho.
Ukichunguza nchi zote zilizoendelea viongozi wake kwanza walianza kwa kuchukua hatua za maksudi na wakazimamia kikamilifu. Ukiacha hilo, wenzetu huko duniani wanafanya kazi kwa bidii sana ukilinganisha na sisi watanzania.
Chini ya jua, nchi au mtu yeyote hawezi kupiga hatua za maendeleo bila kujinyima kwanza kwa muda na kuchapa kazi.
 
Pamputi

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
984
1,000
Save your words ipo siku utakuja itwa shujaa kwa maono yako ya mbali

#go_Magu
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,843
2,000
Nionavyo mimi, Rais JPM ndiye atakayeleta maendeleo makubwa nchini. Lakini anatakiwa kukaza uzi mpaka dakika ya mwisho.
Ukichunguza nchi zote zilizoendelea viongozi wake kwanza walianza kwa kuchukua hatua za maksudi na wakazimamia kikamilifu. Ukiacha hilo, wenzetu huko duniani wanafanya kazi kwa bidii sana ukilinganisha na sisi watanzania.
Chini ya jua, nchi au mtu yeyote hawezi kupiga hatua za maendeleo bila kujinyima kwanza kwa muda na kuchapa kazi.
Nonsense, nani anakazi na hafanyi kazi hiyo? Kuna mtu anakaa tu wakati ana kazi ya kufanya inayolipa, be it kilimo, biashara etc? Kuna ukame nchi nzima, Serikali imeweka miundombinu ya umwagiliaji maji mashamba wananchi wakaacha kulima mwaka mzima? Stop nonsensical politicized narrations!
 
Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
1,485
2,000
Siyo kwamba watanzania hatufanyi kazi ,suala ni kwamba tunafanya kazi kwa kiasi gani?
Watanzania tuna maneno mengi kuliko utekelezaji. Nenda kajifunze China, Uingereza nk uone jinsi wanavyokuwa busy wakati wa kazi. Sisi watanzania hatuwezi kutenganisha wakati wa kazi na wakati wa utani.
 
mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,897
2,000
Nionavyo mimi, Rais JPM ndiye atakayeleta maendeleo makubwa nchini. Lakini anatakiwa kukaza uzi mpaka dakika ya mwisho.
Ukichunguza nchi zote zilizoendelea viongozi wake kwanza walianza kwa kuchukua hatua za maksudi na wakazimamia kikamilifu. Ukiacha hilo, wenzetu huko duniani wanafanya kazi kwa bidii sana ukilinganisha na sisi watanzania.
Chini ya jua, nchi au mtu yeyote hawezi kupiga hatua za maendeleo bila kujinyima kwanza kwa muda na kuchapa kazi.
ulifanikiwa kupata maRais wakali duniani?
 
GeeM

JF-Expert Member
Apr 11, 2014
1,899
2,000
Nionavyo mimi, Rais JPM ndiye atakayeleta maendeleo makubwa nchini. Lakini anatakiwa kukaza uzi mpaka dakika ya mwisho.
Ukichunguza nchi zote zilizoendelea viongozi wake kwanza walianza kwa kuchukua hatua za maksudi na wakazimamia kikamilifu. Ukiacha hilo, wenzetu huko duniani wanafanya kazi kwa bidii sana ukilinganisha na sisi watanzania.
Chini ya jua, nchi au mtu yeyote hawezi kupiga hatua za maendeleo bila kujinyima kwanza kwa muda na kuchapa kazi.
Kuchapa kazi ipi?
 
Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
1,485
2,000
Kila mtu na kazi yake. Kama mkulima aongeze bidii katika kilimo na watumishi wa umma vivyo hivyo.
 
mume wa mtu

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
599
500
Nionavyo mimi, Rais JPM ndiye atakayeleta maendeleo makubwa nchini. Lakini anatakiwa kukaza uzi mpaka dakika ya mwisho.
Ukichunguza nchi zote zilizoendelea viongozi wake kwanza walianza kwa kuchukua hatua za maksudi na wakazimamia kikamilifu. Ukiacha hilo, wenzetu huko duniani wanafanya kazi kwa bidii sana ukilinganisha na sisi watanzania.
Chini ya jua, nchi au mtu yeyote hawezi kupiga hatua za maendeleo bila kujinyima kwanza kwa muda na kuchapa kazi.
Inategemea tuna vipaumbele gani vya kututoa hapa tulipo kama nchi?so far nimeona kipaumbele cha kwanza kabisa ni NDEGE,pili nimeona elimu bure na madawati,hosteli za chuo kikuu,nyumba za magomeni kota,barabara ya coco beach,nikaona na faru joni humo humo kwenye vipaumbele,nikaona na shisha,ujenzi wa ofisi za bakwata.lakini huwezi kuona mipango mikubwa awamu hii zaidi ya ile iliyoasisiwa na awamu iliyopita kama miradi ya umeme,gesi(bomba la gesi kutoka mtwara)miradi mikubwa ya maji,one stop center,reli ya standard gauge,ujenzi wa shule zinazoitwa za kata na maabara zake(ingawa zina mapungufu yake lakini ni zaidi ya elimu bure)mipango ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo,magari ya mwendo kasi,daraja kigamboni,kilimo kwanza,vitambulisho vya taifa,bvr,katiba mpya,nk.vyote hivi vimefanyika ingawa vilikuwa na mapungufu yake lakini unaona kabisa ishu na mambo yakifanyika.vitu kama hivi ndio tunataka kusikia sio kilasiku kulalamika dili dili.kitu pekee so far kwa maono ya sasa nakiona nacho ni bomba la mafuta la Uganda ambalo nalo sio mipango yetu ni kwamba tumechaguliwa tu.labda tuendelee kuwa na matumaini lakini on our own risk.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom