Utawala wa Mpinga Kristo u karibu

Fanya kazi ndugu. Dunia hii tuliyopo ina umri Wa 4.5 billion sasa wewe endelea kuota. Utakufa wewe na siyo Dunia
Wakati wa Nuhu na gharika watu wa dizaini yako walikuwepo.

Walimwona jamaa [Nuhu] kama fala na mjinga fulani hivi anayeongea mambo ambayo ni impossible kwa sababu dunia ya wakati ule ilikuwepo kwa mabilioni ya miaka..!!

Kwa kutoelewa na kusikia kwao, walimwambia mzee Nuhu, "fanya kazi wewe, dunia hii iko kwa zaidi ya miaka bilioni kadhaa, wewe unasemaje itaangamizwa..??"

Yaani wito wa kuwataka waingie kwenye Safina tu tena bure bila kulipa chochote wakaudharau na matokeo yake wote walikufa kwa maji na Nuhu na jamaa yake kadhaa tu ndio walipona..!!

Ndugu, be very carefully..
 
Wabashiri wengi wa mwisho wa dunia ni walokole wenye itikadi kali, aka evangelical Christians. Hiki ni kizazi cha waliodanganywa na wakadanganyika.

Yupo mchungaji wao mmoja aliyeanzisha uvumi kuwa ameambiwa na Mungu kuwa mwisho wa dunia ni 2001. Aliangukia pua.

Tuzidi kuwaombea hawa wabashiri wa mwisho wa dunia.

Kukosea kwao hao wachungaji na kuwa na mihemko yao kiasi cha kutoa misleading prophecies juu ya mwisho wa dunia, haiondoi ukweli kuwa MBINGU na DUNIA hii na vyote vilivyomo ukiwemo wewe mwanadamu vitapita [vina mwisho wake]

Na itakuja MBINGU na DUNIA mpya kabisa isiyo na mawaa na watakaoishi ktk dunia hiyo ni wale walioishi maisha ya USHINDI katika dunia hii ya sasa itakayofuatiliwa mbali kwa kuwa WALIMWAMINI na KUMKIRI YESU KRISTO kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yao..!!

This is a UNIVERSAL TRUTH ambao hakuna mtu wa kuupinga na akitokea mtu wa kupinga, UKWELI huu utasimama na utabaki hivyo mpaka uwe fulfilled..!!
 
Kuutangaza utawala wa mpinga kristo kuwa u karibu au u mbali siyo jukumu la binadamu yeyote.

Majukumu ya msingi ya binadamu ni kumwabudu Mungu muumba. Mengine tukijua kuwa yapo inatosha.
 
hizi ni nyakati za mwisho mwenye kupinga apinge..
.
shika sana ulichonachoo km unaamini sayansi ishikirie saana , kuna siku na saa yaja ndio utaelewa vzr...
 
Wakati wa Nuhu na gharika watu wa dizaini yako walikuwepo.

Walimwona jamaa [Nuhu] kama fala na mjinga fulani hivi anayeongea mambo ambayo ni impossible kwa sababu dunia ya wakati ule ilikuwepo kwa mabilioni ya miaka..!!

Kwa kutoelewa na kusikia kwao, walimwambia mzee Nuhu, "fanya kazi wewe, dunia hii iko kwa zaidi ya miaka bilioni kadhaa, wewe unasemaje itaangamizwa..??"

Yaani wito wa kuwataka waingie kwenye Safina tu tena bure bila kulipa chochote wakaudharau na matokeo yake wote walikufa kwa maji na Nuhu na jamaa yake kadhaa tu ndio walipona..!!

Ndugu, be very carefully..
Fanya kazi ndugu. Acha kujipa propaganda za kikuda hapa. Nina uhakika hata usafiri wako utakuwa bicycle pia kula yako ni shida. Ndio huwa mnakuja na theory za sijui upuuzi Gani. Kwahiyo Hao walio kufa since NUhu mpaka Leo huwa wana mpinga NANI?
 
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.

Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.

Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.

Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
Big amen mtumishi wa Mungu, dawa ni kuamua kumwamini Kristo na kufuata maagizo yake yote, mbali na kuja mpinga kristo bado humu wapo wanaomkataa Yesu Kristo na kumfuata yule mudi atawapeleka motoni tuwaombee wageuke
 
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.

Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.

Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.

Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
Enzi ya USA ni kweli inaenda kupita kama taifa ambalo liliwekwa na God strategically kwa ajili ya kueneza injili ya Yesu Kristo pamoja na kuisupport Israel. Hii ni enzi ya mataifa na ipo ukingoni. USA haitajwi moja kwa moja kwenye biblia lakini Ulaya ipo kwa maana ya ufalme wa rumi ambao ulikufa na sasa umerudi kupitia jumuia ya ulaya. Mpinga kristo atatokea jumuia ya ulaya kwa maana ya lile andiko la pembe moja iliyochomoza katika zile 10. Ninavyoamini unyakuo upo karibu sana! lakini ni ngumu kusema timeline yake ila ni kweli dunia inaelekea pagumu sana kiuchumi na kuna uamsho mkubwa wa mwisho umeshaanza na utaendelea kwa kipindi fulan hivi ambapo watu wengi watampokea Yesu.Huyo mpinga kristo ataibuka siku chache baada ya unyakuo na kwa kuanzia ataonekana ndiye mkombozi wa ulimwengu kwa maana ya shida za kiuchumi, na hata mgogora wa israel na palestina atatoa suluhu ambapo atafanya mkataba na israel ambapo miaka mitatu ya mwanzo israel itaona kweli shida yake na palestina imeisha lakini miaka mitatu na nusu tu ikiisha israel wanageukwa na huyu jamaa na majeshi ya Libya, Ethiopia, Russia, Iran na mengine yataivamia Israel. Israel itakula kichapo kibaya sana, lakini inapofika miaka 7 ndipo sasa Yesu anarudi na kuiokoa Israel.

Mojawapo ya sababu ya USA kutokuwa nguvu tena baada ya unyakuo ni kuwa hakutakuwa tena na wale waombaji waliojitoa kwa dhati na ambao wamekuwa wakiomba toba kwa ajili ya taifa la USA lakini siyo hivyo tu hakutakuwa na waombaji wanaoombea mafanikio ya USA maana itakuwa wamenyakuliwa so lazima lifike mwisho na ndiyo maana hata Israel itabaki ukiwa maana watetezi wake kwa maana ya wanaoliombea mema kwa Mungu wengi sana watakuwa wamenyakuliwa.

Kwa wale tunaoamini katika kumkiri Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu ni wakati wa kuendelea kujitakasa kwa maana ikitokea ukaukosa unyakuo aisee kipigo cha Mungu katiko hiyo miaka 7 aisee acha tu ni dhiki kuu kweli kweli.
 
Fanya kazi ndugu. Israel hiyo unayo ijua siyo kabisa wale waliopo pale ni wavamizi tuu kama hao Wa Ngorongoro. So acheni kujipa matumaini na tiketi eti sijui mtapata unyakuo? Shithole
 
Fanya kazi ndugu. Acha kujipa propaganda za kikuda hapa. Nina uhakika hata usafiri wako utakuwa bicycle pia kula yako ni shida. Ndio huwa mnakuja na theory za sijui upuuzi Gani. Kwahiyo Hao walio kufa since NUhu mpaka Leo huwa wana mpinga NANI?
Pole rafiki..

Umeingiza ishu ya baiskeli na magari tu nikatambua wewe ni mtu wa namna gani..

Kwamba, ni mtu usiyejua usemalo na hata hujui ulielewalo..

Kwako wewe unadhani HESHIMA na UHAI wa mtu uko ktk gari au mali za dunia hivi..

Hayo yote ni mema na mazuri sana. Lakini bila Yesu Kristo, hayo yote ni takataka na ubatili mtupu..

Kwa sababu imeandikwa;

"...yafaa nini mtu kuupata ulimwengu wote [i.e pesa, magari, baiskeli, majumba, dhahabu na anasa zote] kisha akapoteza roho yake..?"

USHAURI WA BURE KWAKO:

Kama Mungu kakupa neema ya kukupa gari au magari [maana umeninanga mimi kuwa nina baiskeli tu] na pengine majumba mazuri na mapesa, basi mshukuru yeye..

Lakini umepungukiwa na kitu kimoja, hakikisha hiyo neema ya vitu alivyokupa Mungu unaiachilia imtukuze na kumtumikia yeye Mungu..!

Lakini kama umepewa hiyo neema halafu wewe unatumia kuwatambia na kuwanyanyasa watu wengine, unafanya kosa maana hilo silo kusudi la Mungu kukupa vitu hivyo..!

It's just as simple as that...

Usiku mwema ndugu
 
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.

Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.

Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.

Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
Hallucinations
 
Hakuna chapa wala chapati mkuu. Dunia hii inatawaliwa na mimea na bacteria tuu
 
Nice
 
dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka
Ndiyo mwamini Yesu alichosema na alichotenda halafu mfuate yeye. Badala ya kuchakurachakura maandishi kusema ooh imeandikwa hivi oooh imeandikwa vile huku na huko tumia na akili yako tu mda mwingime. RELAX
 
hizi ni nyakati za mwisho mwenye kupinga apinge..
.
shika sana ulichonachoo km unaamini sayansi ishikirie saana , kuna siku na saa yaja ndio utaelewa vzr...
Pigania afya yakoo, familia yakoo tenda mema hii dunia ipo bado sana tna sana Sisi tutaondoka vitakuja vizazi bilioni mbeleni
 
Enzi ya USA ni kweli inaenda kupita kama taifa ambalo liliwekwa na God strategically kwa ajili ya kueneza injili ya Yesu Kristo pamoja na kuisupport Israel. Hii ni enzi ya mataifa na ipo ukingoni. USA haitajwi moja kwa moja kwenye biblia lakini Ulaya ipo kwa maana ya ufalme wa rumi ambao ulikufa na sasa umerudi kupitia jumuia ya ulaya. Mpinga kristo atatokea jumuia ya ulaya kwa maana ya lile andiko la pembe moja iliyochomoza katika zile 10. Ninavyoamini unyakuo upo karibu sana! lakini ni ngumu kusema timeline yake ila ni kweli dunia inaelekea pagumu sana kiuchumi na kuna uamsho mkubwa wa mwisho umeshaanza na utaendelea kwa kipindi fulan hivi ambapo watu wengi watampokea Yesu.Huyo mpinga kristo ataibuka siku chache baada ya unyakuo na kwa kuanzia ataonekana ndiye mkombozi wa ulimwengu kwa maana ya shida za kiuchumi, na hata mgogora wa israel na palestina atatoa suluhu ambapo atafanya mkataba na israel ambapo miaka mitatu ya mwanzo israel itaona kweli shida yake na palestina imeisha lakini miaka mitatu na nusu tu ikiisha israel wanageukwa na huyu jamaa na majeshi ya Libya, Ethiopia, Russia, Iran na mengine yataivamia Israel. Israel itakula kichapo kibaya sana, lakini inapofika miaka 7 ndipo sasa Yesu anarudi na kuiokoa Israel.

Mojawapo ya sababu ya USA kutokuwa nguvu tena baada ya unyakuo ni kuwa hakutakuwa tena na wale waombaji waliojitoa kwa dhati na ambao wamekuwa wakiomba toba kwa ajili ya taifa la USA lakini siyo hivyo tu hakutakuwa na waombaji wanaoombea mafanikio ya USA maana itakuwa wamenyakuliwa so lazima lifike mwisho na ndiyo maana hata Israel itabaki ukiwa maana watetezi wake kwa maana ya wanaoliombea mema kwa Mungu wengi sana watakuwa wamenyakuliwa.

Kwa wale tunaoamini katika kumkiri Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu ni wakati wa kuendelea kujitakasa kwa maana ikitokea ukaukosa unyakuo aisee kipigo cha Mungu katiko hiyo miaka 7 aisee acha tu ni dhiki kuu kweli kweli.
Amka ndotonii uwahi kaznii familia inakutegemea
 
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.

Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.

Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.

Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
Unachambua mambo mazito kwa hoja nyepesi nyepesi.

Amka hapo kwenye godoro ukojoe urudi kulala.,
 
Back
Top Bottom